Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,355
Hivi hii ni ziara ya kujenga chama au ya kupiga picha?...
Uzi wa Kinana na Nape lakini CHADEMA inatajwa mwanzo mwisho.
Weka mbazo hazijachakachuliwa tuzione mnadanganya watu kupanda bajaji kumbe maV8 mmeyaweka hotelini na vimada vyenu mmebakiza mwaka tu muondoke
chadema wanaumia sana wakiona ccm wanapata watu, nyie pigeni domo humu JF wenzenu wanajenga nchi na watu wanaona
Kandoro mwenyewe kavaa gwanda kwa kuwa anajua Mbeya hawadanganyiki ni wanamageuzi wa ukweli.
Kinana na Nape wanafanya tu mchezo wa kuigiza, mara wapande baiskeli, mara wapande bajaj, mara wale wali maharage, wale chai na vitumbua wamekaa chini, wabebe vitofali na kulima na jembe la mkono, yooote hayo majibu watayapata 2015