Recent content by mjapan

  1. M

    Hotuba za Rais Magufuli za kichwani zinakera, asome hotuba anayoandaliwa

    Wacha azungumze hii nchi ilishaharibika viongozi waliachia watendaji wakwapue kwa wanavyotaka hivyo inahitaji ukichaa kidogo kufanya maamuzi Magumu kama haya. Wanaomkandia nahisi ni masalia ya walionufaika na ukwapuaji wa utawala wa awamu ya 4. Magufuli aluta continua
  2. M

    Balozi wa Norway nchini Tanzania, utaondoka wewe CCM utaiacha Tanzania

    Balozi wa China alizunguka na Kinana na Nape haikuwa So ila wa Norway kuonana na Viongozi wa CUF kuwashawishi wakubali kurudia uchaguzi ndio Noma!?
  3. M

    Mabalozi, NGO's, & Co. Marufuku kuzunguka nchini bila ya kibali!

    Jana tu Balozi wa Norway kutembelea ofisi za CUF ndio imekuwa noma!? kama alienda kuwashawishi wakubali kurudia uchaguzi si jema hilo? CCM mbona mnaweweseka na kivuli?
  4. M

    Naibu Spika kuwa na adabu kidogo

    Wabunge watamkumbuka Mussa Hassan Zungu. Zungu alikuwa ana balance CCM na UKAWA lakini Tulia hajatulia alimnyima kabisa Mbunge wa Kilombero Mh. Lijualikali achangie taarifa ya kuzama kivuko kwenye jimbo lake!?
  5. M

    Lusinde: Chama kikishindwa Uchaguzi mara 3 hugeuka cha kigaidi

    Tatizo la Livingston Lusinde ni ELIMU ELIMU ELIMU
  6. M

    'Ujinga' wa Ikulu unarudi kwa kasi

    Waingie hata breweries TBL wapange bei elekezi Bia ziwe buku buku, na masokoni mchele kilo iwe buku buku nk. Wazazi hawana shida na Ada shule za Academy maana kuna standard and quality (monies worth) na ukifanya utafiti shule za Serikali ambayo ada ni 70,000 gharama ya mwanafunzi mmoja kwa mwaka...
  7. M

    Kumpelekea Mulongo RAS Polisi maana yake nini?

    CCM ni ile ile haitabadilika hata Malaika akitua hapo. Magufuli kama Kikwete tu yaani kuna shida ya ajira wasomi wenye madigrii (degree) wanauza Mpesa na vocha za simu. Watu wamefanya Kazi miaka 30+ amefikia muda wa kustaafu (miaka 60) unampa kazi nyingine yenye cheo Katibu wa mkoa (RAS) hi si...
  8. M

    Mjadala wa Bunge: Wanahabari, Edwin Soko na Moses Mathew warushiana maneno makali studio za Star TV

    Mwandishi Mosses Mathew ni Kibaraka wa CCM hata hoja zake asimamii ukweli bali ukada wake. Juzi pia hapo hapo StarTV alitetea sana Serikali ya CCM kuzima matangazo Bungeni ya moja kwa moja (Live) bila kuwa na hoja ya msingi. Sababu alizosema Waziri Nape ni 3 ambazo ni gharama kubwa, watu wafanye...
  9. M

    TBC1 yasitisha kuonesha baadhi ya Mikutano ya Bunge moja kwa moja (Bunge LIVE)

    Hizo ni Wilaya majimbo ya Kura? Ninavyojua majimbo yaliyoongezwa ni Kibamba na Mbagala.
  10. M

    CUF yatangaza kutoshiriki Uchaguzi wa Marudio Zanzibar

    Na Jecha makosa yake ni yapi? Unaongea kama mtaalam au mzandiki wa CCM
  11. M

    Hali ya sintofahamu Bungeni: Polisi waingilia kati, Wabunge wa Upinzani watolewa nje

    TBC wanapata ruzuku, hawalipi kodi, hawalipi pango, wanapata mishahara kutoka serikali kuu wanasema ni gharama kuonyesha live Bunge. StarTV na ITV kupitia EATV hawapati ruzuku, wanalipa kodi na wanajigharamia kila kitu wanaonyesha Bunge Live. Kuna kitu wanaficha na ni uchaguzi Zanzibar. Nipe TBC...
  12. M

    Masikini Dr. Slaa, Nyumba yake yapigwa mnada

    Hayo mabilioni yalioandikwa kwenye uchaguzi amewekewa ktk benki HSBC Uingereza kwanini wasilipe hilo deni?
  13. M

    Wakenya wanatuacha mbaaali sana Watanzania, Kwanini?

    Penda usipende Bila kujua English fluently utaachwa nyuma kimataifa, nashangaa watanzania tunapiga vita lugha ya kiingereza na hata juzi kwenye mdahalo wa ITV walimu wanadai lugha ya kufundisha kutoka shule ya awali hadi Chuo Kikuu iwe kiswahili!? Kiingereza ndio Kiswahili cha Dunia, hapa nchini...
  14. M

    Charles Kimei (CRDB) jiuzulu, kashfa ya kontena, tiketi TFF, wanafunzi na ujambazi CRDB

    Benki kubwa kama CRDB itakosa changamoto!? Mbona Benki kuu BOT na maswala ya Escrow husemi Governor ajiuzulu!? Hata Ikulu utawala wa JK na makashfaa yote mbona hakupigania Rais awajibike!? Aidha una wivu wa kike au umetumwa
Back
Top Bottom