Kumpelekea Mulongo RAS Polisi maana yake nini?

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,701
71,035
Wakuu habari,

Nimejaribu kujiuliza sababu za mh. Rais JPM kumpelekea Mulongo RAS aliyetoka kwenye jeshi la polisi tena aliyekuwa Ofisa wa ngazi za juu kwenye jeshi hilo, lakini sijapata jibu, kwa hiyo nimeona niwekeke hapa ili tujadili kwa kuwa najua kuwa humu kuna watu wenye akili sana. Asanteni
 
Kuna possibility the guy akaja kumreplace Mulongo wakati wa changes za wakuu wa Mikoa, I think hiyo ni entry point tu
 
CCM ni ile ile haitabadilika hata Malaika akitua hapo. Magufuli kama Kikwete tu yaani kuna shida ya ajira wasomi wenye madigrii (degree) wanauza Mpesa na vocha za simu. Watu wamefanya Kazi miaka 30+ amefikia muda wa kustaafu (miaka 60) unampa kazi nyingine yenye cheo Katibu wa mkoa (RAS) hi si sawa.
 
Hatuwezi kumaliza ajira kwa nafasi za kisiasa. Ajira ziko mashambani na viwandani
 
Point of correction! Paul anakuwa katibu tawala wa mkoa siyo katibu mhutasi wa mkuu wa mkoa!
 
Huu hapa ni wivu wa kike. Mtu kufanya kazi kwa ufanisi kwa miaka hiyo si vibaya kumpadisha cheo na kumpa madaraka yenye changamoto zaidi.
CCM ni ile ile haitabadilika hata Malaika akitua hapo. Magufuli kama Kikwete tu yaani kuna shida ya ajira wasomi wenye madigrii (degree) wanauza Mpesa na vocha za simu. Watu wamefanya Kazi miaka 30+ amefikia muda wa kustaafu (miaka 60) unampa kazi nyingine yenye cheo Katibu wa mkoa (RAS) hi si sawa.
 
Mh.Raisi anataka kurejesha nidhamu ktk utumishi wa umma pengine ameona askari anaweza kumdhibiti Mulongo kwa utendaji wake kazi wa majigambo na kiburi
 
Rais alimweka huko kwa sababu nafasi ilikuwa wazi. lakini kwa bahati tu mkuu wa mkoa atatahadhari zaidi kwa huyu RAS mpya.. kwa upande mwingine atakuwa na tabia ileile kwa wengine.
 
u
Wakuu habari,

Nimejaribu kujiuliza sababu za mh. Rais JPM kumpelekea Mulongo RAS aliyetoka kwenye jeshi la polisi tena aliyekuwa Ofisa wa ngazi za juu kwenye jeshi hilo, lakini sijapata jibu, kwa hiyo nimeona niwekeke hapa ili tujadili kwa kuwa najua kuwa humu kuna watu wenye akili sana. Asanteni
Ukifikia CHEO cha kamishna Rais anaweza kukuteua nafasi yyote atakayoiona inakufaa angalia huko nyuma tulishakuwa na Brigadier Gen Kayombo alikuwa DC SASA USISHANGAE KUMBUKA NDOMBA ALISHAKUWA PIA MKUU WA MKOA, GEN KALEMBO, GEN KIWELU, ADAD RAJABU BALOZI NA WENGINE WENGI KWA HIYO ISIWE TATIZO KWAKO NI MAMBO YA KAWAIDA MKUU WA WILAYA YA MUSOMA ZELOTHE STEPHEN NI SACP-SENIOR ASSISTANT COMMISSIONER OF POLICE
 
Hiyo combination ya Mulugo na Chagonja sijui itakuwaje. Kama Faisal alimpiga chupa ya maji huyu RC sasa tutegemee RC kutandikwa mikanda na mitama na Chagonja kama ataendeleza tabia zake za dharau.
 
Kwani Ni NCHI Inayoongozwa Kijeshi!!!?? SASA Ikiwa Hata Ma -RAS Tu, WANATEULIWA WASTAAFU Wa Jeshi La POLISI Na JWTZ Au JKT!!! Ni Tatizo KUBWA!!
 
u

Ukifikia CHEO cha kamishna Rais anaweza kukuteua nafasi yyote atakayoiona inakufaa angalia huko nyuma tulishakuwa na Brigadier Gen Kayombo alikuwa DC SASA USISHANGAE KUMBUKA NDOMBA ALISHAKUWA PIA MKUU WA MKOA, GEN KALEMBO, GEN KIWELU, ADAD RAJABU BALOZI NA WENGINE WENGI KWA HIYO ISIWE TATIZO KWAKO NI MAMBO YA KAWAIDA MKUU WA WILAYA YA MUSOMA ZELOTHE STEPHEN NI SACP-SENIOR ASSISTANT COMMISSIONER OF POLICE
OK nashukuru mkuu kwa kunielimisha
 
Hiyo combination ya Mulugo na Chagonja sijui itakuwaje. Kama Faisal alimpiga chupa ya maji huyu RC sasa tutegemee RC kutandikwa mikanda na mitama na Chagonja kama ataendeleza tabia zake za dharau.
Hahahaaaaaa
 
Rais alimweka huko kwa sababu nafasi ilikuwa wazi. lakini kwa bahati tu mkuu wa mkoa atatahadhari zaidi kwa huyu RAS mpya.. kwa upande mwingine atakuwa na tabia ileile kwa wengine.
Hahahaaaaa
 
Back
Top Bottom