Recent content by Mjaghamba

  1. Mjaghamba

    JamiiForums Tanzania 5,000/- Kwa yeyote atakae nipatia nyimbo ya Kilimanjaro ilyoimbwa na Ben Lyimo

    Ahahaha! Iyo labda nilikuwa cjazaliwa
  2. Mjaghamba

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kuondokana na udomo zenge/ Aibu kwa wanawake

    swala la nyuma 3 limekujaje hapo au ndio unavyotongozaga kuwaambia nina nyumba tatu?
  3. Mjaghamba

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete kuhutubia Ijumaa

    Ingekupoa zaidi angeongea na wazee wa singida mashariki wanamtaman sana
  4. Mjaghamba

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    huku mungaa ccm wanatia aibu hawataki hata kujitokeza kati ya vtongoji 8 ccm wamepata 2 tu
  5. Mjaghamba

    JamiiForums Tanzania Natafuta Msichana wa kuoa

    kama unashida sana oa bibi ako
  6. Mjaghamba

    JamiiForums Tanzania Nyama choma yapigwa marufuku UDSM

    Kwan siku zote uongozi ulikuwa wapi au haukujua hilo ni eneo la chuo!
  7. Mjaghamba

    JamiiForums Tanzania Wantaed man tapeli anatafutwa na Polisi

    Kakutapeli mke au kakutapeli nn?
  8. Mjaghamba

    JamiiForums Tanzania Kumbe Kikwete ndie aliehamrisha Pesa za ESCROW zitoke, tusipoteze muda, kuna giza hapa

    Kumbe ulikuwa hujui..utapandaje mti bila kupitia kwenye shina?
  9. Mjaghamba

    JamiiForums Tanzania Uwingi wa hela za TegetaEscrow

    ni janga la kitaifa
  10. Mjaghamba

    JamiiForums Tanzania Uwingi wa hela za TegetaEscrow

    hizi hela za escrow ni nyingi zinaweza kujaa chumba yaan mtu akikuomba unamchotea lumbesa 2 au tatu akatumie bila kuishaaa?
  11. Mjaghamba

    JamiiForums Tanzania Leo mtoto hatumwi dukani, Bunge kuwaka moto Dodoma

    Alikuwa wapi hakupata huo mgawo?
Back
Top Bottom