Natafuta Msichana wa kuoa

Natafuta Msichana wa kuoa

Mie Naona We Umekoswa Ya Kuandika, Kwan Mtaa Wenu Una Wanaume Pekee? Tafta Mtaan Kwenu Ikiwezekana Bandika Bango Wajue Unatafta.
 
Lol You make my day Salt, Jamaa atakuwa anamiliki walet nzuri tu, unadhani anataka kukuoa ukale mawe ? au unataka na range ya kwendea sokoni ?

Ndo aseme watu tuchangamkie ndoa ya mwisho wa mwaka hii...
 
Back
Top Bottom