Wantaed man tapeli anatafutwa na Polisi

Wantaed man tapeli anatafutwa na Polisi

Mkuu mtumie lile jini mahaba ulofuga limlete kwako.
Nitamtumia Silaha kali wewe muache acheze na Mimi MziziMkavu Hauchimbwi dawa Samwel Meleka nitampelekea watu toka Ufo wamchukuwe aende kwenye Sayari nyingine.
 

Attachments

  • ufo.jpg
    ufo.jpg
    6.4 KB · Views: 1,022
Last edited by a moderator:
..hao dada zako wanaishi wapi..walikutana naye wapi...hiyo nyumba ilikua wapi?....na je wana namba zake za simu au aina nyingine ya mawasiliano?
 
..hao dada zako wanaishi wapi..walikutana naye wapi...hiyo nyumba ilikua wapi?....na je wana namba zake za simu au aina nyingine ya mawasiliano?
Wamekutana nae hapo hapo Mjini Dares-Salaam ndipo alipo watapeli ukitaka maelezo zaidi unaweza kuwapigia simu wadogo zangu kwa namba hii hapa 0687 446644 Mkuu mtu chake

Weka kithibitisho kuwa taarifa imetolewa polisi
Kithibitisho kipo ngojea niwasiliane na mdogo wangu nitakiweka hapa jukwaani au wewe kama unaweza mpigie simu mdogo wangu kwa namba hii hapa 0687 446644 atakupa maelezo yote kwa ujumla kwani mimi nipo Ughaibuni sipo Tanzania. Mkuu.@Donnie Charlie
 
Last edited by a moderator:
Huyu Mpumbavu anajiita LAHILL ASHIRAFI NABILI amewatapeli wadogo zangu wa kike nyumba ameuza nyumba yao kisha ametoweka na pesa zote. Nikimpata huyu Shetani nitamkata kichwa chake kitakuwa halali kwangu.

amewatapeli ktk mazingira gani ? Ili na sisi tuwe makini.
 
10834112_1500737530200089_594438781_n.jpg


Huyu bibie ndio mdogo wangu wa kike na huyu hapo ndio mume wake waliyetapeliwa nyumba yao na huyo shetani Tapeli picha ya hapo juu.
 
Back
Top Bottom