Manispaa ya Sumbawanga kwa sasa ina idadi kubwa ya watu,kitendo cha kuwa na eneo moja la kutoa pesa si sahihi.Nina hakika huduma inavyotolewa na usumbufu wanaopata wafanyakazi kama kungekuwa na ridhaa ya kujiunga na benki yoyote hakuna mtumishi ambaye angekubali mshahara wake upitie NMB tawi la...
Unapokuwa umegubikwa na imani au mtazamo fulani bila kutaka kupanua wigo wa kufikiri ni hatari sana,watu wataendelea kulalamikia mfumo kristo pasipo kuhangaikia suala la elimu na kujibidisha ktk maisha.Nchi ambayo inatoa uhuru wa kuabudu ni vigumu kushinikiza kupata jambo kwa misingi ya...
Zamani Jamii iliaminishwa kwamba Dunia ni sayari iliyopekee katikati lakini Galileyo pekee alikataa uvumi huo na leo amejipatia umaarufu mkubwa tofauti na mawazo ya walio wengi.Simama siku zote ktk maamuzi yako.Acha watu wakushauri lakini wasiingilie uhuru wa maamuzi yako.
Dunia ina kila aina ya watu,kuna watu wenzao wanapoangalia mbele wao watataka kuangalia nyuma,watu wanapopiga magoti wao wanataka kusimama.Hao ndio binadamu.
Nipo Mwanza, nami pia ni mtumishi wa gvt idara ya mipango.Dini ni mkristo na umri wangu ni 34.Endapo upo serious njoo Mwanza tupime mdudu kujua afya kisha kila mtu aione rangi halisi (tabia) ya mwenzake.
Najiuliza maswali yafuatayo nakosa jibu:-1.Hivi tumekaa na changamoto za muungano au kasoro ndogondogo kwa muda gani na kushindwa kupata suruhu ya pmj.2.Leo hii nchi hii ikagawanyika watabaki na aina gani ya muundo ktk nchi na aina gani ya nchi.Ni busara gani itatumika ktk kupata aina ya muundo...
Hakuna serikali ambayo wananchi wake hawalipi kodi.Serikali isiyokusanya kodi ni serikali mfu.Muhimu ni kwa wadau wote,serikali na wafanyabiashara kukaa chini na kutatua tatizo.Kwa sasa hakuna sababu ya kuoneshana misuli kwani uchumi wa nchi unadidimia na kuwapa usumbufu wageni wanaofika...
Leo mwenyekiti wa kamati ya sheria ndg William Ngereja ameongea jambo la maana sana kwamba,"wabunge wa katiba wa situmie muda mwingi kuongelea masuala ya muungano na kusahau mambo mengine ya msingi".Ni vizuri kwa kuzingatia uwakilishi ktk bunge kujadili masuala yatakayo kuwa na faida kwa miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.