Recent content by Mista bull

  1. M

    Siasa za ulimwengu wa sasa na madhila kwa waislamu ukweli unafahamika

    Mawazo yako cyo mabaya lkn naomba unieleweshe mini shida ya Somalia maana asilimia kubwa wote n islama! Nisaidie mkuu
  2. M

    Mauaji ya Sister ni matokeo ya Kanisa kukwepa wajibu wake!

    Usahihi WA mambo n muda sahii na mahali husika, NAPITA TU.
  3. M

    Dr Leakey upo wapi? Bado haujapata wa kuziba pengo lako, rudi kwenye game

    Kamari starehe yake! Wtz ndyo maana huwa tunafail mitihan sasa hapa habari za kamari zmetoka wap? Mtu unaulizwa unajbu vtu tofauti, Kwan mtu hawez chambua soka huku akiwa anaendelea Ku betty? Hapa pananifany nitafakar upya maa a halisi ya great thinker inavyomaanisha huku. Zaid naona vilaza Tu
  4. M

    Nimerejea rasmi CCM!

    Uchizi cyo lazima uvue nguo utembee uchi, napita Tu. NC Sunday.
  5. M

    Influence ya Wachagga Vs Wakinga in Dar Es Salaam

    Utawajua Tu wakinga n kina Nan, waulize wahindi Wako wapo sasa kariakoo! Chaga endeleen kufkir karibu cc tunafikiria mbal zaid yenu,mbele yenu nyuma yetu
  6. M

    Tanzia: Muigizaji Rachel Haule afariki dunia

    Jina lake mungu lihimidiwe, sote sfr inatungoja!
  7. M

    Kwanini Wayahudi wanachukiwa na jamii nyingi duniani?

    Sasa olesaidimu humtendei haki, wew kama unabisha Toa evidence ya watu ambao n zaid Yao maana kakende kaweka anaowajua sasa wew usiishie Tu kukataa wkama kakosea bas wew unslijua jibu type jibi! Wengne tucojua
  8. M

    Sakata la Vicky Kamata limenikumbusha mbali sana... Malipo hapa hapa duniani kwa kweli!

    Michepiko cyo dil na njia kuu folen baki njia panda, vya wiz vtam zaid ya sukar lkn mwisho wake mbaya, Vicky aibu yako mwenyewe!
  9. M

    Barua Ya Wazi Kwa Kijana Wa Kitanzania(kama una miaka kati 20 mpaka 30 soma hapa)

    Gud advice by a wise man! Thanx Bt vijana PIA zaid tujiangalie na kuchunga afya zetu la mhm SNA maana vijana unakuta tunafight but at final tunafanikiwa lkn ndyo afya inakuwa mgogoro mtu anakufa before hata haha enjoy alichohangaikia kwa nguvu zake zote na kwa muda wote
  10. M

    TBC, watangazaji wenu wanapotosha umma!

    Ingefaa tupate cv yake huyo haule uckute tunamuonea bure yeye kwenye kiss n muajiri aliyeajir kilaza kiss Tu n magamba mwenzao
  11. M

    CCM walibadilishwa na kardinali pengo - serikali 2

    Mtoa maada cjui amesoma na kuelewa mpaka darasa la ngap! Maana heading na alichoandika ndan Hamna relation kbsa, kawabadilsha VP? Wap na Ln? Maoni ya pengo cyo ya kanisa katoliki na ictoshe mwenyekiti WA binge kaonana na pengo na sheikh mkuu muft ili watoe ushaur kwa yale yanayotokea bungen...
  12. M

    Wanywa castle light

    cyo dhambi
Back
Top Bottom