Karibu sana mkuu kwenye chama chenye sera zenye dira ya maendeleo
Nimerejea rasmi CCM baada ya kuridhishwa na jitihada mbalimbali zinazofanywa na uongozi wa chama hiki DUME ktk kuleta maendeleo ya kweli kwa mtanzania wa kawaida,Nimekosheka mno hasa na ujenzi wa miundombinu hasa mabarabara,maji,afya na elimu,Hakika wasiyoyaona haya kwa vyovyote watakuwa ni wanafiki wapenda shari na wasioitakia mema nchi yetu,WALE wote wanaounga mkono chama hiki makini au kusapoti CCM Tujumuike hapa tufikie elfu moja (1000) KWA PAMOJA TUWASHINDE WANAFKI NA WASIO NA SHUKRANI
hivi wewe mtanzania kwa akili zako zote unaona "mchagga mbowe" anauwezo wa kulifufulia shirika la ndege,au viwanda kwa moyo mmoja?haisee Ningependa watanzania wote waishikilie amani yetu hii tusilan'gaike mungu ametujalia ardhi kubwa kuiendeleza ni lazima itatukua muda ardhi yetu sio kama ya rwanda au burundi,hivyo uendelezaji wake ni lazima utafuata hatua
Gazeti la leo linaonyesha hii picha, kweli mna sera za maendeleo kama haya ya kwenye hii picha
![]()
Mkondai Primary School pupils in Bahi, Dodoma region leave a mud-walled dilapidated building they have been using as classroom since their block walled one collapsed in 2012. The government on Thursday set aside a Sh3,465.1bn budget for development of education in the country. (Photo: Correspondent Peter Mkwavila)
cdm ccm wote njaa kali...ila bora jini likujualo...
Karibu sana ktk chama dume, chama tawala, huku ni stress free hakuna matusi, karibu nyumbani.
Nimerejea rasmi CCM baada ya kuridhishwa na jitihada mbalimbali zinazofanywa na uongozi wa chama hiki DUME ktk kuleta maendeleo ya kweli kwa mtanzania wa kawaida,Nimekosheka mno hasa na ujenzi wa miundombinu hasa mabarabara,maji,afya na elimu,Hakika wasiyoyaona haya kwa vyovyote watakuwa ni wanafiki wapenda shari na wasioitakia mema nchi yetu,WALE wote wanaounga mkono chama hiki makini au kusapoti CCM Tujumuike hapa tufikie elfu moja (1000) KWA PAMOJA TUWASHINDE WANAFKI NA WASIO NA SHUKRANI
Nimerejea rasmi CCM baada ya kuridhishwa na jitihada mbalimbali zinazofanywa na uongozi wa chama hiki DUME ktk kuleta maendeleo ya kweli kwa mtanzania wa kawaida,Nimekosheka mno hasa na ujenzi wa miundombinu hasa mabarabara,maji,afya na elimu,Hakika wasiyoyaona haya kwa vyovyote watakuwa ni wanafiki wapenda shari na wasioitakia mema nchi yetu,WALE wote wanaounga mkono chama hiki makini au kusapoti CCM Tujumuike hapa tufikie elfu moja (1000) KWA PAMOJA TUWASHINDE WANAFKI NA WASIO NA SHUKRANI
uamuzi huu wa busara umenijia baada ya kupata dondoo chache za wajasiriamali hawa CDM Hakika USIPOLIJUA JAMBO NI KAMA USIKU WA KIZA KINENE awali nilikuwa cdm damu,KWELI MICHEPUKO HAIFAI NILIPOTEA LKN NIMEREJEA