Sakata la Vicky Kamata limenikumbusha mbali sana... Malipo hapa hapa duniani kwa kweli!

Status
Not open for further replies.

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
8,937
2,000
2005 jamaa yetu mmoja alioa akakaa na mke mwezi na nusu baadae yule mwanamke akaanza kuomba talaka,ukimuuliza jamaa kisa nini? anasema mwanamke anataka hati ya nyumba yao ya urithi.

Shughuli aliponyimwa hati ya nyumba akaanza kurudi usiku wa manane.

2009 bibie akapata bwana akatangaza kila sehemu,masikini yule binti akujua anaenda kuolewa na mume wa mtu aliekimbia nyumba yake na watoto watatu Iringa.

Mungu si mwanakijiji//wala basiasi /wala pawpaw aseme uongo wametangaza ndoa mara ya kwanza,mara ya pili na mara ya tatu shuguli ya harusi inakaribia.

Siku anatangaza tangazo la tatu ndugu wa mwanamke aliekimbiwa Iringa alienda kusali na ilikuwa pale Kijitonyama lutheran akamwona shemejie anasimamishwa gafla hee!! Akakaa kimya baadae akampigia nduguye huko Iringa panda basi la haraa uwezekanavyo kesho uwe Dar.

Mchungaji akajulishwa akasema well noted aje na vyeti vya ndoa,usimchezee Mungu hata kidogo.

Ijumaa ambayo Jumamosi yake ni harusi bibie katinga na full docs asubuhi,zikaenda kuchunguzwa kwa wah Magomeni wakakuta kweli mh ameoa.

Hawakumpigia BW HARUSI MMTARAJIWA muda ule ule wakamwacha kimya, Jumamosi asubuhi wakaitwa na kanisa wakaelezwa ndoa hakuna.

Akaulizwa bw harusi mtarajiwa, unamjua huyu?akajibu hapana.Akaambiwa 'huna ndoa nae huyu? Akaoneshwa cheti na picha zake wakiwa na watoto shambani, loh!! akadondoka chini.

Mwaka huo huo Disemba yule bwana nae akapata mke wakaenda kanisani akaonesha vyeti vya talaka safi kabisa ana watoto watatu na mke mmoja.

Wito tu; mume/mke wa mtu sindano jamani tuwe makini.
 
Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,049
2,000
hakiayanani jf leo mnanchanganya sana,kimetokea nini kwa vicky kamata?mbona siredi kibao za mafumbo mafumbo?
_
#$(/$/#*(*$/#(
 
OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
19,161
1,250
hakiayanani jf leo mnanchanganya sana,kimetokea nini kwa vicky kamata?mbona siredi kibao za mafumbo mafumbo?
_
#$(/$/#*(*$/#(
Mi najifunza kitu hapa!!!!!

Yaani wananchi hawapo poa kabisa na viongozi, inatisha ati!!!!!
 
IKWETE

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
4,061
1,225
Staa wa Bongo Fleva na Mbunge wa Viti Maalum (CCM) anayewakilisha Vijana Mkoa wa Geita, Vicky Pascal Kamata akiwa na mchumba wake Charles Pai.

kwamba ile harusi ya the Century iliyokuwa ifanyike leo Kempisk Hotel baina ya Mbunge Maarufu wa Viti Maalum CCM Mh. Vicky Kamata imepiga mwamba kutokana na ukweli kujulikana dakika ya mwisho jana kwamba Mchumba wake Mheshimiwa Mbunge ni Tapeli wa ajabu hapa nchini amabae amekuwa akiwadanganya sana kina dada wenye utajiri na kwamba Mh. Vicky Kamata anakuwa ni Mbebez wa tatu kutapeliwa na Mchumba huyu pichani.

Ripoti inasema kwamba Juzi Mke wa kweli wa Mchumba huyo alijitokeza na hati zake Kanisani Catholic kwa Wachungaji waliomfahamisha Mchumba kwamba hakutakuwa na tendo la kufunga Ndoa Kanisani ndipo Mchumba huyo bwana Charles akatimka na jumla ya pesa za mchango wa harusi hiyo Shillingi Millioni 40. Jumla zilikuwa zimeshachangwa Shillingi Millioni 100, tayari USD $ 15,000 zilikuwa zimeshalipiwa kwa ajili ya Ukumbi wa Kempisk Hotel, tayari wageni waalikwa toka Geita walioshiriki kumchagua Mbunge huyo walishafika Dar wapo hapa, na cha kutisha zaidi ni kwamba Mheshimiwa Mbunge toka jana asubuhi ameshindwa kabisa kumpata mchumba huyo kwenye simu zake zote zimezimwa hazipatikani kabisa. Inasemekana baadhi ya Wabunge waliomchangia kwa kiwango kikubwa sana wameanza kulalamika kwa pembeni.
 
Mfukua Makaburi

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
3,335

Kumbe! Chozi la mnyonge hulipwa na Mungu. Vick alitaka kumnyang'anya mama wa watu mume. Pole vick.
 
OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
19,161
1,250
je viongozi wako poa na wananchi? wewe unajuwa hao watoto 3 kazaa na nani? na current status yake ikoje?

Mkuu hebu imagine enzi za kifo cha marehemu Sokoine (RIP)na watu walivyokuwa na majonzi!!!!!!
Kitu kama hicho kikitokea sasa unadhani itakuwaje???!!
Halafu m not focusing kwenye maisha yake personally, kuzaa na nani na status yake hayana issue na mass na ndio maana watoto hawatajwi kama uko makini!!!!!

M trying to draw a big picture!!!!!
 
MstahikiMeya

JF-Expert Member
Jan 8, 2014
1,654
0
Nyie skizeni hii ishu MKULU ANAIJUA NA YY NDIO ALIE MTIRIRISHA JAMAA...SOON MTASKIA LILOMPATA JAMAA MUOAJI...SIMNAKUMBUKA YA PAPII KOCHA?

Huwezi kumgegeda dem wa MKulu weye
 
Nico1

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
805
250
Ndege kakamatiwa kwenye kiota, polee bibie vick vumilia haya ndiyo ya dunia machungu yakiisha kumbuka kurudisha salio la watu:A S cry::A S cry::A S cry::A S 13::A S 13:
 
King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,756
2,000
Hii dhana nzima ya kwenda kuzuia ndoa huwa siielewagi aisee. Inakuwa ni kwamba mwenza wako hakutaki, halafu unamganda? Manake nikiambiwa a week before namuitia loya magumashi namsainisha documents za divorce chap chap namtolea nguo zake kwa dirishani.

hii habari ya kupigania mume ama mke ndo mapenzi ama ni uchizi? Au mie sipendi? Believe me you, nikikuta msg ya mapenzi kwenye simu ya paw siwezi kumpigia simu huyo dada. Nitauliza tu vipi mshkaji, ndo kusema? Halafu namuachia yeye kazi ya kunifuatilia na kunishawishi!

manake ukishazuia ndoa kanisani, mnarudi kuendelea na mapenzi as if he was sleep walking, ama ndo unaanza kugombana na kutukanana hadi aombe msamaha muendelee? How does it feel kuishi na mtu ambae unajua sheria tu inamfunga, otherwise he has better choices?

cc Kongosho, snowhite, AshaDii Kwa maelezo zaidi manake nyie ndo ntawaamini.
 
Last edited by a moderator:

Mista bull

Member
Mar 30, 2014
21
0
Michepiko cyo dil na njia kuu folen baki njia panda, vya wiz vtam zaid ya sukar lkn mwisho wake mbaya, Vicky aibu yako mwenyewe!
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom