Recent content by Misspina

  1. M

    Calculator Mpya ya Magari TRA

    Mi nilitumia Calculator ya awali mwezi February kodi niliyoipata imekuwa doubled kwenye calculator mpya na nilipowasiliana na TRA via email kodi niliyopewa imetofautiana na hizo mbili zote. Its just confusing.
  2. M

    Valuation Calculator for Used Motor vehicles and CRSP List - TRA WANAKISIA BEI ZA MAGARI?

    Salaam Mkuu Nimejaribu kudowanload hyo calculator bila mafanikio, naomba nisaidie kwa Toyota Belta ya 2006. Cc 1290, CIF 3400 Kodi yake itakuwa kiasi gani? please Mkuu msaada wako
  3. M

    Kauli tata za Mh. Pinda tangu alipoteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania.

    Zanzibar siyo nchi. {Wakati ina Rais, Jeshi, Serikali, Bunge, Katiba, bendera na wimbo wake wa Taifa}
  4. M

    Ni mara yangu ya kwanza nataka kununua gari!Naombeni msaada.

    Naweza kurekebishwa lakini nijuavyo mimi Carina toleo la mwisho ni 2002.
  5. M

    Hatimaye yametimia walimu kucheka huu ndiyo waraka mpya.

    Asante Mkuu, Nipo kwenye mfumo unaotoa huduma kwa watumishi wa Serikali na kwenye Idara inayoshughulikia masuala ya walimu. Ni vyema kumwambia mtu ukweli kuliko kumpa Tumaini Hewa.
  6. M

    Hatimaye yametimia walimu kucheka huu ndiyo waraka mpya.

    Mkuu walimu ni waajiriwa wa Wakurugenzi, lakini 'MAMLAKA YAO YA AJIRA NA NIDHAMU NI TSD AMBAYO NI SERIKALI KUU' ndio maana hata post zao hazitangazwi na TAMISEMI, wanapandishwa vyeo na TSD Mkurugenzi hawezi kubadili mishahara bila idhini ya UTUMISHI. Mwenye Jukumu la kusimamia MIUNDO NA VIWANGO...
  7. M

    Hatimaye yametimia walimu kucheka huu ndiyo waraka mpya.

    Wakuu kilichopo hapa ni 'MAPENDEKEZO YA MISHAHARA MIPYA KWA WALIMU' yaliyofikiwa katika kikao cha pamoja kati ya wakurugenzi na TAMISEMI. Mnachokiona ni 'BARUA' kutoka TAMISEMI kwenda kwa Makatibu Tawala waliotakiwa kufikisha nakala kwa Wakurugenzi na wadau wengine. Mapendekezo hayo yanaenda...
  8. M

    Unafiki wa JIDE na MWANA FA kwenye misiba,wa ngwear waliahirisha shoo wa LANGA wamepiga shoo.

    Si wao tu, hata vyombo vya habari hawajaupa umuhimu msiba huu, haujapata coverage hata robo ya walichofanya kwa Ngwair.
  9. M

    Hivi ni kweli mitaani tunakoishi(at grass-roots level) udini upo?

    @ the Grassroot Level? No, ndio maana leo hii watu tunasafiri, wanajitokeza wahubiri kwenye daladala/mabasi ya mikoani, wanamwaga neno wote kimya hakuna anaerusha tusi wala kumwambia aondoke imani zetu hazilingani. Huu udini wa Tz ni agenda ya kisiasa tu
  10. M

    Hivi mwajiri wa sisi walimu ni nani??

    Point of Correction, Mkurugenzi ni Mwajiri wa Mwalimu lakini Mamlaka ya Ajira ni TSD. Mwl anapewa barua ya ajira na kuthibitishwa kazini na TSD. Na masuala yote ya nidhamu yanashughulikiwa na TSD ikiwemo kusimamishwa na kufukuzwa kazi na hata authority ya kumpandisha mwalimu cheo ipo TSD.
  11. M

    Exclusive: Majibizano kati ya Job Ndugai na Eliasanti Bugenyi yaibua mapya!

    Hivi Ndugai kwani ana akili? Mi nilijiridhisha kuwa hana akili alipokuwa kwenye mdahalo na Lisu, aliaibishwa kwa hoja nadhani ndio maana hampendi.
  12. M

    pspf kimyaaaaaaaaaa

    Vimemo vingi, wanashindwa wamwite nani wamuache nani kwenye interview.
Back
Top Bottom