KANCHI
JF-Expert Member
- Sep 3, 2011
- 1,533
- 230
Porojo tu hapo!
We mweu !
Porojo tu hapo!
Jaman naomba kuuliza waraka huu unawahusu walimu walioajiriwa mwaka huu?? coz naona kama unawahusu wale ambao walikua na matatizo katika kupanda madaraja wa miaka ya nyuma
Huu Waraka ni wa uongo, Katibu Tawala hana mamlaka ya kutoa waraka wa mishahara badala yake ni Katibu Mkuu ofisi ya Rais Utumishi.
Kitu cha ajabu tena imesainiwa kwa niaba na imetoka mkoa wa Kilimanjaro, hakunaga kitu kama hicho kwa document sensitive kama waraka wa mshahara, unless useme ni tafsiri ya waraka, japo pia huruhusiwi kuutafsiri waraka kwa mtindo huu mana unaweza poteza maana kwa watumiaji wengine esp Wakurugenzi wa Halmashauri ambao wanawalipa Walimu mishahara.
Ninachofahamu mimi ni kuwa waraka wa mishahara kwa mwaka 2013/2014 bado serikali haijautoa, na ukitoka kazima autoe Katibu Mkuu ofisi ya Rais Management ya Utumishi wa Umma ( Ndg George Yambesi).
Plz tupate ufafanuzi zaidi, huu waraka ni wa nini.
Huu waraka ni valid nyaraka zote zinazotoka TAMISEMI huandikwa na katibu tawala mkoa husika na aliyesaini kwa niaba ni Afsa Elimu mkoa(REO) hebu jaribu kupitia nyaraka zinaxokuja mashuleni zote zina mfumo huo. Halafu walimu masuala ya mishahara, madaraja nk hutoka TAMISEMI sio utumishi. Walimu ni waajiriwa wa local gvt sio serikali kuu, mwajiri wao ni mkurugenzi wa hslmashauri husika sio katibu mkuu
Waraka huo unaweza ukawa ni wa ukweli au wa kubumba hayo yote ni majibu na kwa vile uhalisia utajidhihirisha mwaka wa fedha mi naona tuipokee taarifa kama taarifa nyingine tu.
Kama itakua kweli nitafundisha kwa bidii kama simba alie jeruhiwa