Wadau salam,
Nauliza kwa wale waliofanya usaili DUCE wiki ya jana kwa kada mbalimbali,nimeskia kulikuwa na maswali ya research kwa wingi,je ni maswali gani yaliyokuwa yameulizwa?
Masada tafadhali.
Et mama yake anaitwa lucy,et ni nesi!!!haya we kila cku na visa vya watoto!!yule mwingine uliyekuwa unamtafutia house girl utakayemlipa RAV4 ,keshakuwa tayari???
Niliacha kazi kwenda kumuuguza mama yangu,mchumba wangu akaniacha SBB nimeacha kazi akidai sitakuwa na future,wakati kabla ya hapo ye alikuwa hana kazi nilimvumilia mpaka alipopata.Niliumia sana na sikuamini lkn ndo ilikuwa hivyo.
Naona unachezea shilingi chooni hivi hivi Kisa unaendekeza uvulana na utoto!
Eti hana muonekano mzuri!!sasa uliwezaje kulala naye hadi kumpa mimba??halafu hivyo vilaki anavyokutumia kwa nini humrudishii mana ye hana muonekano mzuri!! Halafu wewe nani kakwambia kama una muonekano mzuri...
Yaani unachekesha we we!!we umekwenda kwa lengo la kupata Ngozi nyeupe,sasa Ngozi nyeusi umeichukulia nini?we we huna focus,huna tofauti na anayekwenda kununua gari,sasa kafika yard kakosa gari basi akaamua kununua Bajaji huku moyoni anasikitika hakutaka Bajaji alitaka gari,by the way why can't...
Halafu je ungekuwa we ndo unatokea kwenye familia ya huyo msichana na watu wakakataa kuolewa na wewe eti Kisa tu kwenu kuna vichaa ungejiskiaje?jaribu kuvaa viatu vya huyo binti uone ungekua wewe ndo yeye halafu mchumba wako akakunyanyapaa kihivo ungejiskiaje?
Mambo mengine mungu ndo anayajua...
Mzuri wa nini?acha ubwege kuna wanawake wapiganaji wanajinunulia vitu vya thamani kwa nguvu zao,wanamiliki vitu vya thamani ikiwemo mijengo ya maana na magari makali wakati we unayejifanya kidume unazidi kuwa jeans Mpauko mtaani,acha kukariri kwamba wanawake wote wanaishi kwa kuhongwa!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.