Mchepuko ana biashara yake lakini bado anataka hela zangu

Mchepuko ana biashara yake lakini bado anataka hela zangu

Ww lafa Kwel iv kuna cha bureee Kwel kwa dunia ya sasa!? Huna mkwanja achia wenzako wenye nazo...kumuona tu mtu hata hajakupa kiss mwanamme ushatoa lak 2 naul.....ha ha ha watakubebea soon

mkuu mbona uninitisha!!...halafu nazungukia maeneo hayo lengo na mm nipate ngozi nyeupe, ila nakutana na hawa hawa...nazidi kuumia
 
unataka kwenda mkuu, na ww ukavue? unajua kiingereza? anyway, iko Nakumatt...zamani paliitwa shoprite

Ohh pale TFA zamani. Mkuu kama uwezo wako ni wa mechi za mchangani unakwenda Uwanja wa Taifa kutafuta nini?Kuhusu kuvua mimi mvuvi makini sitishwi na dhoruba. Kiingereza kimenipiga chenga lakini natembea na mkalimani kuhakikisha napata ninachotaka.Na translator wangu namlipa allowance yake bila mkwara mzigo ukifika bandarini.
 
Wakuu
natumaini hamjambo.

Wiki mbili tatu nilivua mchepuko pale Empire club, Arusha.mashallah yuko
vizuri maana alishadate ngozi nyeupe wakamwachia mtaji, anafanya
biashara yake mjini.

Cha ajabu ni kwambai,kila tukikutana iwe ni kwake au out lazima nilizwe
misimbazi kadhaa, kwa aibu ninatoa huku nikijiuliza kwanini.

Nampenda ila shida ni kwamba how can i make it vise versa? au hata asiwe
akinipiga mizinga.

Nawasilisha.

so tofauti na pesa hutaki chochote kwake? kama ndio icho unachotaka unataka cha bureeee???? God 4bid.
 
Ulifikiri kuchepuka ni rahisi?????? tena huo mchepuko lami hujakutana na mchepuko vumbi wewe.
 
OA acha kubeba beba wanawake.

Hunufaiki na chochote ila unajiangamiza tu wewe na nafsi yako kwa ZINAA. Japo kwa waweza kuona unafaidi saana lakina ni tamaa tu ya macho na fahari ya mwili ya muda mfupi sanaa ila yenye implication na risk sana. Tulia, Fanya mazoezi, jichunge, Tafuta maisha yako wanawake watakuja wenyewe uchague kwa vigezo vyako wakati huo.

Kwenye bold:.Kulingana na vile unavyofahamu na ambavyo umewahi kukutana navyo uko sahihi kufikiri hivyo

Ni kweli mkuu..sasa kwa style hii mbona kasheshe, ina maaana mm niishie kubeba wale wa mitaani tu...wenye pesa zao kama hawa bado sitaambulia kitu, lazima na mm niwe nazo...maana hiyo ya kusema anaweza akanipa zake ili niwe namhudumia naiona kama movie vile....
 
Mwanaume utakula Kwa jasho na mwanamke atazaa Kwa uchungu so hawezi kubeba laana Mara mbili.
 
mkuu mbona uninitisha!!...halafu nazungukia maeneo hayo lengo na mm nipate ngozi nyeupe, ila nakutana na hawa hawa...nazidi kuumia

Yaani unachekesha we we!!we umekwenda kwa lengo la kupata Ngozi nyeupe,sasa Ngozi nyeusi umeichukulia nini?we we huna focus,huna tofauti na anayekwenda kununua gari,sasa kafika yard kakosa gari basi akaamua kununua Bajaji huku moyoni anasikitika hakutaka Bajaji alitaka gari,by the way why can't you wait until you get what you want or what you planned to buy?
 
Wewe mbona una mke lakini bado unataka utamu kwake?
 
Mkuu tabia ya nyuki hiyo.Kupenda kufyonza nectar bila kujali bustani inamwagiliwa na nani? Ukitaka free lunch basi utasubiri sana.

habari ndo hiyo....free P awaachie wacheza shoo, mwanaume rijali lazima ajue kutoa pesa.
 
Mjini cha bure mate yako sababu salamu kuna wengine huziona zao ni ghali hawasalimii. Unataka ule alizotoa muzungu? take care kaka usione vyaelea kuna watu wamegharamika sasa kama hizo za lunch na salon unaona nyingi waqt kidume kimetoa mtaji utaweza kumpa mtaji wewe?
 
ati unataka iwe vice versa kuwa makini hiyo vice versa inaweza kuendelea hadi kwenye mambo yetu yaleeee ohooo utaliwa wewe
 
Back
Top Bottom