Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Ndoa sio hisani wala favor.
Kama unaona moyo wako haujaridhia mwambie wazi atafute ustaarabu mwingine.
Ukilazimisha kuoa kwasababu watu wamekuambia utajuta siku yatakapokukuta.
Kaeni chini mu-harmonize jinsi ya kumlea huyo mtoto kwasababu sio laana bali ni baraka.