Naombeni ushauri ndugu zangu

Naombeni ushauri ndugu zangu

Jifunze tu kumpenda huyo mdada,muweke katika mazingira ambayo yatakufanya umpende cz naamini huyo ndo wako wa maisha,huyo unaesema ndo umempenda huyo…atakuja kukuliza zen ukirudi tena kwa mzazi mwenzio utakuta kashawaiwa na wenye kupendeka…!!Shaulilo!
 
Tunaposema kuna wanaume waaribifu watu wanabisha, sasa huyu si muaribifu tu, kama humpendi mtu uliwezaje ku do nae????????????? ulilewa??????????? sioni cha kukushauri zaidi kama unaona roho yako haipo kwa huyo dada tafadhali muache mapema ili usije kumzalisha watoto wengi alafu ukamsumbua baadaye, mwache fungu lake bado lipo mungu atamuonyesha.

upendo hutoka ndani ya moyo, hakuna upendo wa kushauriwa.
 
nimekuja kwenu wanajamv kutaka ushauri kutoka kwa kila mmoja wenu,ni kwamba kuna demu nilikutana nae hapa town dsm mwaka juzi wakat yey amemalza chuo udsm sasa kiukwel nilimtamani tu ckumpenda toka moyoni nami kipnd hcho nilikuwa cna mtu sasa nikamtongoza akanikubalia na kiukwel alinipenda na ananipenda sana tena zaid ya sana,akusita kunipa tunda la kati kati baada ya yeye kuajiliwa yey alipata iringa kazi so akaenda nami nikabaki dsm naendelewa na mishemishe zangu za kuuza nguo dukani kwangu ikapta kama miezi 2 akaniambia mimba na akaniambia nisiwe na wasiwasi kama sina hela ya kumlea mtoto yey ingawa kwao mpaka saiz cjaenda kujitambulisha kwa kuwa ana ajira haita kuwa tatzo kabisa coz anamshara mzuri so kwa kpnd ambacho tulikuwa mbali mbali nilikutana na mrembo ambae ndo nimempenda kwa dhat lakn yey hana kaz coz alifel huko o level sasa niko njia panda naitaji mnisaidie kunionyesha direction wakuu coz yule demu wangu saiz anamtoto wangu ila ndo ananipenda sana ingawa mi cjapenda sana yan co kwa dhat ingawa huwa akipata mshahara vi laki laki huwa ananirushia sana yan kiukwel ananipenda na saiz anasema anataka akope mkopo wa mili 7 anipe niongezee kwenye biashara yangu ili ikue zaid ila naogopa kuchukua hzo hela alaf badae nimwambie kuwa cmuitaji na anaweza akazimia kwa jinsi anavyonipenda ila nngekuwa nae nahis tungepata mafanikio haraka sana ila ndo hvo cjampenda kutoka moyoni so nimekuja kuomba ushauri kwenu wakuu kama niendelee nae au nimuache mapema kabla penz letu alijaota miziz na kunipa hyo miela then niwe na huyo mrembo mwngne ambae ndo nampenda kwa dhat ila hana mawazo makubwa kimaisha...natanguliza shukuran zangu za awali ..
by john s

Katka mabwegeregeje naww ni mmoja wapo kazi ya mwanaume ni kusaka hela sio kupenda kupenda waachie wanawake afu waswahili wanakamsemo penda unapopendwa tena wakaongeza kengine ukishikwa shikamana
 
Katka mabwegeregeje naww ni mmoja wapo kazi ya mwanaume ni kusaka hela sio kupenda kupenda waachie wanawake afu waswahili wanakamsemo penda unapopendwa tena wakaongeza kengine ukishikwa shikamana

watu wanalia wapate wanapopendwa yeye anataka anapopenda!!!

ole qake aoe huyo anayemtaka halafu binti agundue anapendwa!!! kila siku atakuwa mleta uzi hapa!!!
 
Katika mambo niliyojifunza karibuni mapenzi yanaweza kumgeuza mtu chizi, sasa na naona hilo ndilo unalolitafuta kumgeuza huyo demu wako (kama ulivyomuita) chizi.
 
Jiulize...
Kama huyo anaekufaa na kukupenda wewe humpendi na unaempenda hakufai wala hakupendi bora kipi?!Uamuzi ni WAKO.

Oa ambae unadhani utaweza kuvumilia mapungufu na matatizo yake na yeye ataweza kufanya hivyo hivyo kwako. Zaidi ya hapo utajuta sana mbeleni. Na kama huyo dada wa watu unaona ni ngumu sana kuendelea nae mwambie tu aendelee na maisha yake ili asiendelee kukutumikia wewe akijua kwamba kila mmoja kafika kwa mwenzie kumbe wewe ndo kwanzaaaa safari imeanza.
 
Lazimimisha kumpenda huyo mwenye mshiko, kwanza tayari umezaa nae, pili hela ipo. Kwanza wewe ni kabila gani? Mbona unataka kupishana na hela?
 
kitabia na upendo kwangu nina appriciate ila kimuonekano wake cjampenda kutoka moyoni mkuu

sawa mkuu lakn nahis after some years uzalendo unaweza ukanishnda nkachepuka

Mkuu nasikitika lakini pia nafurahi kukwambia kuwa wewe bado hujakua. Bado mtoto wewe na hujui maana ya ndoa.

1. Kuchepuka ni maamuzi na haina uhusiano na kuoa mke anaye kuvutia kwa sura na maumbile. Una uhakika gani kuwa ukioa huyo unaye muona ni mzuri hauto chepuka? Hakuna mwanamke mzuri duniani, ukiwa na fikra hizo siku utakutana na mzuri zaidi ya huyo kilaza wako aliye ishia kidato cha IV, sujui utamuacha kisa umepata mzuri zaidi yake

2. Aliye kwambia uzuri ndio utakuza familia bora ni nani? Maisha ya sasa magumu kuanzia malezi Mpaka matunzo ya watoto, sasa wewe oa huo mzigo ambao mwenyewe unasema hauna akili ya maisha halafu uone

3. Mkisha zoeana Ndani ya ndoa uzuri unakuwa sio ishu tena bali tabia ndio inakuwa jambo la muhimu.

Nakushauri muoe huyo unayesema ni mzuri maana ndio unalotaka kufanya kwasababu unatumia akili za Ujana za vijiweni. Kila la kheri kwenye kujizamisha kimaisha
 
Mkuu nasikitika lakini pia nafurahi kukwambia kuwa wewe bado hujakua. Bado mtoto wewe na hujui maana ya ndoa.

1. Kuchepuka ni maamuzi na haina uhusiano na kuoa mke anaye kuvutia kwa sura na maumbile. Una uhakika gani kuwa ukioa huyo unaye muona ni mzuri hauto chepuka? Hakuna mwanamke mzuri duniani, ukiwa na fikra hizo siku utakutana na mzuri zaidi ya huyo kilaza wako aliye ishia kidato cha IV, sujui utamuacha kisa umepata mzuri zaidi yake

2. Aliye kwambia uzuri ndio utakuza familia bora ni nani? Maisha ya sasa magumu kuanzia malezi Mpaka matunzo ya watoto, sasa wewe oa huo mzigo ambao mwenyewe unasema hauna akili ya maisha halafu uone

3. Mkisha zoeana Ndani ya ndoa uzuri unakuwa sio ishu tena bali tabia ndio inakuwa jambo la muhimu.

Nakushauri muoe huyo unayesema ni mzuri maana ndio unalotaka kufanya kwasababu unatumia akili za Ujana za vijiweni. Kila la kheri kwenye kujizamisha kimaisha

dogo ananisikitisha!! i wish awe mdogo wangu nifungie ndan kwa semina!!! anaacha kushukuru amepata mtu anaweza vumilia mapungufu yake anahangaika na uzur!!! labda atakuwa anamuuza huyo mzur wake ili wapate hela!!!

hawa ndo anataka sifa za kusikia jamaa anademu mkal, anasahau haohao watakao sifia watamgongea huyo dem we subir..!!! kila cku atakuwa mleta uzi hapa
 
Naona unachezea shilingi chooni hivi hivi Kisa unaendekeza uvulana na utoto!

Eti hana muonekano mzuri!!sasa uliwezaje kulala naye hadi kumpa mimba??halafu hivyo vilaki anavyokutumia kwa nini humrudishii mana ye hana muonekano mzuri!! Halafu wewe nani kakwambia kama una muonekano mzuri?

Acha uvulana kuwa mwanaume!!
 
Ufikie wakati watu wawe wanaheshimu hisia za wenzi wao....kwani haya mambo si ya kimchezo mchezo...yanaweza yakakusababishia madhara makubwa kuliko unavyodhani....unaonyesha dhahiri kuwa mtoa mada amewakwa na tamaa ya ngono kiasi kwamba kila mwanamke unataka kumchungilia...bado hujui maana ya mapenzi..bado hujafahamu ni namna gani mapenzi yanautesa moyo...kwa kifupi bado upo gizani...na unahitaji tuition ya mapenzi....
Wahenga walisema..unaposhikwa shikamana...
Hata kama huyo dada humpendi kwanini pia usiangalie na mustakabali wa maisha ya mtoto wenu au mtoto nae humpendi....??
Nisiandike mengi inawezekana hii ikawa ni hadithi ya kutunga..maana siku hizi jf kuna watunzi mahiri sana....ila kama ni kweli tafuta muda uongee na mzazi mwenzio mada ya msingi iwe ni kuhusu mwanenu...
 
Daaah... utauza sana mitumba ya nguo na huyo div 5 wako...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom