Recent content by miss_jackie

  1. miss_jackie

    JamiiForums Tanzania Toyota laver 4 inauzwa

    huyu jamaa namjua ni tapeli, kuweni makini.
  2. miss_jackie

    JamiiForums Tanzania Harambee ya CHADEMA 'yamezwa vibaya' na harambee ya Pinda!

    umevurugwa,kajipange
  3. miss_jackie

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Kiba namkubali sana
  4. miss_jackie

    JamiiForums Tanzania Passport: Maombi ya Hati ya Kusafiri ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Wadau habari zenu, nina ndugu yangu amepoteza passport sasa anahitaji kupewa nyingine ana safari next week hivyo inahitajika kwa haraka kidogo,ameshakwenda kwenye gazeti na polisi naomba kama kuna mtu anajua mtu anayeweza kumfanyia fasta atuunganishe naye.
  5. miss_jackie

    JamiiForums Tanzania Vita nzito Clouds FM Vs Times FM

    ni wapi? nielekeze shosty
  6. miss_jackie

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Msanii wa filamu Sherry Magali afariki dunia

    Ukimwi unaua, play safe.
  7. miss_jackie

    JamiiForums Tanzania Vita nzito Clouds FM Vs Times FM

    mimi pia nilizomea ila sikwenda na costa wala sikulipwa, na nazomea tena buuuuuuuuuuh oooooooh domo kubwa!!!!!! #teamKIBA 4real
  8. miss_jackie

    JamiiForums Tanzania Ha-follow hata mmoja

    ulitaka akufollow wewe? mpigie simu umuombe
  9. miss_jackie

    JamiiForums Tanzania Alama za ufaulu wa show ya fiesta 2014

    Domo simpendi, safi sana Alikiba.
  10. miss_jackie

    JamiiForums Tanzania Why we respond a question to a question in English greetings

    niache jamani, nitakusemea kwa mama
  11. miss_jackie

    JamiiForums Tanzania Why we respond a question to a question in English greetings

    naogopa
  12. miss_jackie

    JamiiForums Tanzania Why we respond a question to a question in English greetings

    sijawaelewa wote!!!
  13. miss_jackie

    JamiiForums Tanzania Vodacom leo mtamjua mteja mwenye hasira

    Njooni smart
  14. miss_jackie

    JamiiForums Tanzania Nipo Iringa,natafuta Girlfriend

    baridi imezidi? pole
Back
Top Bottom