ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,676
- 120,002
Kwangu airtel wamekuwa almost perfect, hiccup moja tu ni usijaribu kuwakopa...pesa zitaliwa, wala hutaongea afu itabidi ulioe deni. Otherwise, hata nikienda mikoani airtel wana coverage kubwa...Ni tatizo. Nimesafiri kwenda mahali nikawa nimeweka kakifurushi ka-Airtel OMG mwezi mzima. Nimefika huko Airtel iko slow mbaya. Sina la kufanya imebidi niendelee na Vodacom. Ushindani kwenye hili soko si perfect.