Alama za ufaulu wa show ya fiesta 2014

Alama za ufaulu wa show ya fiesta 2014

diamond kazi anayo bado KILI MUSIC AWARD

sijawahi kuipga kura ila ntapiga na ntachukua hadi ya mume wangu tupige

Mimi nitavunja hadi kibubu shoga angu,lazima ndomo akae tena kill music
 
Usisahau kunikumbusha maana na mimi sipigagi hizi kura.

Mimi nitakukumbusha uweke hadi thread ya maelezo jinsi ya kumpigia kura,kiukweli sisi mashabiki wake hua tunamuangusha kwenye kura....This time tuamke
 
lakini davido si alikuwa na zuio la mahakama ya kisutu asifanye show ilikuwaje
 
Mimi nitakukumbusha uweke hadi thread ya maelezo jinsi ya kumpigia kura,kiukweli sisi mashabiki wake hua tunamuangusha kwenye kura....This time tuamke

Ally apange Manegement yake upya ni bora hata kukaa na mnyonyaji kama Ruge ukachanganya na zako kimya sasa lazima kiongee.
 
Duuuh!! kweli domo kawashika jamani..maana 70% ya comment zinamuhuu yeye,anyway regardless aliimba vizuri au alizomewa haijalishi..iyo inaonyesha kuwa jamaa ni someone 'special'
 
Mmhh hv ally alimzidi Blue? Alimzidi FA? hatuna washabiki wa muziki bas bongo…!!!
 
Mimi nitakukumbusha uweke hadi thread ya maelezo jinsi ya kumpigia kura,kiukweli sisi mashabiki wake hua tunamuangusha kwenye kura....This time tuamke

mwaka huu huu hadi kieleweke
 
Mmhh hv ally alimzidi Blue? Alimzidi FA? hatuna washabiki wa muziki bas bongo…!!!

bora ww umeligundua ilo yaan............

for me

1.t.i
2.fa
3.weus
4.bob & micharazo

ndo walipata shangwe za kutosha.....! nilikuwepo that night
 
Ali Kiba 97%
Mwana Fa 94%
Weusi 91%
Mr blue & B.O.B 83%
Stamina 71%
Diamond Platnumz 65%
Ommy Diampoz 62%
madee &Tip Top 58%
Young Killer 50%
Yamoto band 47%
Chege &Temba 42%
Ney wa Mitego 30%

International
T.I 88%
Davido 70%
Victoria Kimani 50%
Waje 43%

HAWA AKINA
Recho
Barnaba
Shaa
Linah
Makomandoo
Vanesa Mdee
Next time msiwalete wanatuibia hela zetu tu bado hawajakizi viwango.
Ruhusu kufanya masahihisho kwa alama anazoona zina makosa.

Huyu lazima binamu yake Kiba. Dogo hana ubunifu wowote zaidi ya kukopi beats za watu, hastahili maksi ulizompa
 
Back
Top Bottom