Vita nzito Clouds FM Vs Times FM

Vita nzito Clouds FM Vs Times FM

Mimi nilisema nikaonekana mjinga ... Ali Kiba ALIKAKODI WATU !!!
 
japo mimi siko upande wa Kiba ila hainiingii akilini kuwa kiba alikodi watu.
Sidhan kama inawezekana akodi watu wajae costa 20 zote..
 
me nadhan isue ni kuwa kuwaandaa watu wazomee,bilaa kujali wamelipwa au laaa,kwani inawezekana kbs kuwaandaa na kutowalipa chochote!...it is possible kwani si iko hvo kwann sku za nyuma haiktokea,na hali ya kumlambanisha kiba na diamond haijaanza leo imekuwa ikifanyika kwa namna ya kivjomozi na sio leo tu

karibu katika ulimwengu wa smartphone.
 
Nadhani clouds wanauelewa na barua waliyopata coz barua ilimzuia dvdoo kufanya shoo tarehe 18 na sisi tunavyojua tarehe hubadilika pindi itakapofika saa sita6 usiku na davido alipanda mida kama ya saa nane so Times fm kisheria wamepigwa chini bora watulie coz dvdooo alifanya shoo trh 19

Hiyo barua ya court order iliwafikia Clouds media au prime time promotion?
Ni kweli barua ilipelekwa kwa wahusika au iliishia kusambazwa kwenye mitandao?

Ninge washauri Times FM waachane na haya malumbano maana haya saidii kabisa ni bora watafute Msanii mwingine tuu waendelee na mambo yao hii case itawapotezea muda!
 
Coaster 25 Tufanywe kila Coaster ilikuwa na watu 20 kwa hiyo 25*20=500 watu 500 hawa walikuwa wanalipa 15000 kila mtu watu 500 hapa wangelipa 7,500,000 hicho ni kiingilio haya tuseme aliwalipa kila mtu 20000 nje ya kiingilio maana yake watu mia tano walilipwa 10,000,000 jumlisha na za viingulio unapata mil 17.5
Ni kweli kiba ana hela kiasi hiki kwa ajili tu ya kuhonga watu wa kumzomea Diamond??

Mfano wako ni mwepesi na umebeba ujumbe mzito, tukaweka ushabiki pembeni wenye akili timamu washakuelewa
 
Ni ujinga ufinyu wa kufikiri kuamini kuwa watu walikodishwa. This is very cheapest story no one will buy it.
 
Ina maana na mimi nililipwa!
Manake hata mimi nilimzomea vizuri tu.
 
Ina maana na mimi nililipwa!
Manake hata mimi nilimzomea vizuri tu.

hahaha inawezekana watu flani walilipwa wakalianzisha afu kwa vile domo hapendwi na nyie mkajikuta mnazomea...
 
na katika hizo costa 20 hakuna hata mmoja liyekiri hadi sasa hivi? badala ya kuendela kuwa tetesi?
 
Nilitaka kusema huyo lakini wataiweza gharama yake???

Kwani nowdayz wizkid anataka dau la sh ngapi? Huyo ataletwA tu kama sio na times basi na wazee wa kusambaza upendo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom