Recent content by Miss Viver

  1. Miss Viver

    JamiiForums Tanzania Mnaoishi na wenza mnawezaje kuvumilia mapungufu yao?

    Kazi kweli kweli.
  2. Miss Viver

    JamiiForums Tanzania Mnaoishi na wenza mnawezaje kuvumilia mapungufu yao?

    Namba 1 na 2 anakuwa busy na simu au?? maana umesema ni kawaida yake.
  3. Miss Viver

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke kamalizia kulipa gharama ya kiwanja ambacho mume wake alikuwa anamnunulia mchepuko

    Yaan maelezo yatatolewa bila hata kuguswa.
  4. Miss Viver

    JamiiForums Tanzania Anataka turudiane

    Kiukweli sikushauri kurudiana nae.
  5. Miss Viver

    JamiiForums Tanzania Nani ni kama mimi?

    Pole Sana,ila daah inauma[emoji848].
  6. Miss Viver

    JamiiForums Tanzania Jambo gani hutakuja kusamehe wala kulisahau?

    Daah,inauma sana,Pole. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Miss Viver

    JamiiForums Tanzania Nimeingiziwa laki nane kimakosa nimeirudisha kwa mwenyewe

    Umefanya jambo jema sana,Mungu atakulipa kwa wema wako. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Miss Viver

    JamiiForums Tanzania Wanawake kuweni wabunifu wa kupiga mizinga

    Hah,utatoa double na tarehe ya harusi imeahirishwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Miss Viver

    JamiiForums Tanzania Wanawake kuweni wabunifu wa kupiga mizinga

    Sawa,sahizi itakuwa ni mizinga ya michango ya harusi. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Miss Viver

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje nirudi chumbani kwangu?

    Nilijaribu kuvuta picha ya mwanamke anayeongea kama chiriku. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Miss Viver

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje nirudi chumbani kwangu?

    Hahah,kumbe Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Miss Viver

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje nirudi chumbani kwangu?

    Ujuba ni nn boss Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Miss Viver

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje nirudi chumbani kwangu?

    Mpigie simu ndugu yako aje alale,alafu ww utarud chumban kwako. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom