Nani ni kama mimi?

Nani ni kama mimi?

Dunia iko kwingine kabisa kwa sasa, hakuna upendo wa kweli, ahadi zinavunjwa, usaliti umetawala.


Usiwekeze upendo kupita kiasi kwa mtu, rudi kwenye akili timamu za kumsoma mtu na uwe tayari kwa lolote lile. Hautaumia.
SAHII kabisa
 
Nani ni kama mm ambaye aliempenda mtu kwa dhati tena upendo wa KIMUNGU ambao hauwangalii sura , rangi, tabia ,kabila, na hata pesa lkn pamoja na upendo wote ulionyesha kwake yy anachukulia easy kwa vile alishawahi kuumizwa nyuma kabla yako

Nani kama mm ambae alidanganywa kwa maneno matamu na mazuri na ahadi nzuri za kuvutia lkn ikabaki kuwa story


Nani kama mimi ambaye kwenye mahusiano yake anaweza akamaliza siku 3 bila text yoyote wala call kutoka kwa mpenzi wake anaempenda kwa dhati


Nani kama mm ambae unamtext love wako lkn hajibu text


Nani kama mimi ambae unampigia cm love wako lkn anakukatia ukimuuliza why anakwambia niko kwenye majukumu

Nani kama mm ambae yuko kwenye mahusiano lakin mpenzi wake hamjalii kwa lolote wala chochote si kihisia , si kifedha , si kimawasiliano yani namaanisha kukujulia hali , na mengine mengi


Nani kama mm ambae ana mthamini mpenzi wake yupo tayari hata kujinyima yy mwenyew ili tuu amfurahishe mpenzi wake na kujali pia hata wakati wa kuumwa lkn anae mthaminii haionii thamani yako


Nani kama mm ambae uliamua hadi kumuonesha mama yako picha yake na kumwambia kuwa uyu ndo mwanaume ambae nimemchagua kuwa ndo atakuwa wa kwanza na wa mwisho kwangu lakin KWA SASA UNAONA HAIBU NA MAJUTO JUU kwann nilikuwa na uwaraka wa kufanya hvyo angali bado ajajileta mwenyew nyumban
Ni shairi, ngonjera au mipasho!
 
Pole sana... Mungu akauponye moyo wako na kuondoa uchungu ili uweze kupokea yaliyomema mbele yako
 
Nani kama mimi ninaeishi kama vile nipo ndotoni kwamba nikiamka atakuwa hayupo tena maishani mwangu?
 
Back
Top Bottom