Recent content by MISS NICE

  1. MISS NICE

    Anataka azae nae watoto 3 tu

    Inamaana umri huo na mali zote alizonazo kakosa wa kumuoa na mumzalisha hadi akuone wewe??? unafamilia tayari na unaona shimo mbele na bado unataka kutumbkiamo??? Mali tafuta na ukiwa na bidii utafanikiwa tu!
  2. MISS NICE

    Mamantilie wanatusaidia au kutumaliza?

    Wanasaidia sana sababu asilimia kubwa ya wanajamii inakula pale. siku hizi kidogo wanajitahid usafi na pili inategemeana na walaji wa pale. wengine wanafanya mazingira kuwa machaf kwani na wao wenyewe hawauon umuhim wa usafi kulingana na maisha na shughuli zao!
  3. MISS NICE

    Tukiwa outing anageuka bubu

    Hahahahaaaaa umeniua.... teh teh teh.... Ni shidaaa
  4. MISS NICE

    Kwanini mke wangu hataki kunisamehe?

    Unauliza jibu??? Hulion kosa linalosababisha usisamehewe na mkeo hadi unaulizia kwa wana jf??? Ungemfumania mkeo yawezekana angekuwa marehem kwa sasa... kabla hujatenda jambo, kuwa mwepesi wa kulitafakari kwanza. KATIKA NDOA WANAWAKE WANADHARAULIKA SANA.
  5. MISS NICE

    Mume wa mtu

    hahahahaa uuuuuiii mbavu zangu mie!
  6. MISS NICE

    Nilimfanya kitu mbaya mgoni wangu, naweza samehe mke

    Ndo maana huyo jamaa kafanyiwa yote hayo ila angetulia yasingemkuta. Ila nimekupata poa. samahani kwa usumbuf uliojitokeza.
  7. MISS NICE

    Nilimfanya kitu mbaya mgoni wangu, naweza samehe mke

    Usikonde mkuu! nishaa kusoma sema najiskia vibaya kweli kuona nachepuka
  8. MISS NICE

    Nilimfanya kitu mbaya mgoni wangu, naweza samehe mke

    Mkuu heshima yako tu ila ningetoa neno zito hapa... Ukitafuta mbichi unategemea wife akae akuangalie tu au??? We ukitafuta hao wabichi yeye anatafutwa na age inayojua mapenzi ni nini na sio huo umri wa kudanganyika unao usemea wewe...kula pole pole na kimyakimya ila ujue unavyokula na wife...
  9. MISS NICE

    Nilimfanya kitu mbaya mgoni wangu, naweza samehe mke

    Tuache utani mkuu, Wewe hujawai kuchepuka? Hivi vitu viangalie tu sema wanandoa waheshimiane tu na sio kuonyeshana wazi wazi kuwa unakula mzigo nje maana wanandoa kwa asilimia tisini wanachepuka.
  10. MISS NICE

    Nilimfanya kitu mbaya mgoni wangu, naweza samehe mke

    Na hao wanawake wasiojiheshimu hawastahili kabisa katika jamii. Hakuna watu wanaotunziana siri kama wanaume, Anaweza akaona na kuchora mchezo mzima ila hutokaa ukaiskia hiyo ila wanawake sasa duh... huyo best wa mkeo alitakiwa kumuita mwenzake na kumuonya na kumkanya hizo tabia na sio kumchongea...
  11. MISS NICE

    Nilimfanya kitu mbaya mgoni wangu, naweza samehe mke

    Wakati na yeye huyo huyo anachepuka sema tu mungu yupo upande wake hajafumaniwa tu ila ukoua kwa upando na wewe hivyo hivyo upanga utakumaliza.
  12. MISS NICE

    Je ni kweli nilimtoa bikra?

    mkuu ulizama ndani au? kama hukuzama inakuweje sasa iwe hivo... Kama ulizama yawezekana ikawa kweli..
  13. MISS NICE

    Mke wangu hadumu na housegirls ana hofu na mimi?

    Kuwanyanyasa mabinti wa kazi ni kosa kubwa sana maana wanaweza hata kuwauweni nyinyi wote. mshauri kabisaa aache hiyo tabia na ajirekebishe haraka sana. Nirudi upande wako, kaka unakosea sana kutembea na best friend wa mkeo. umeshaa mvunjia heshima yake kwa huyo best wake pakubwa sana...
  14. MISS NICE

    Mke wangu hadumu na housegirls ana hofu na mimi?

    Big up dia! Hapo ndo penyewe...!
  15. MISS NICE

    Mke wangu hadumu na housegirls ana hofu na mimi?

    Wao ni mwili mmoja pamoja na mchepuko wa mr. ambae ni best friend wa mrs. na si ajabu ukute anashare nae mambo ya nyumbn kwake lakin ndo hivyo, best anamsoma tu na kumchora since anamjua mme wake in and out.
Back
Top Bottom