The Messenger
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 1,523
- 812
Kamaliza chuo gan?
Kijana hizo topic unazozungumza naye kwa kweli si zenyewe kabisa, sijui hiyo outing mnaenda wapi lakini kuna mambo ya kuzungumza huko
1. Muulize maswali yanayomhusu yeye au mazungumzo yanayomhusu kama familia yake, anaonaje kuhusu maisha na mambo kama hayo. Sasa wewe mpo sehemu tulivu unauliza habari za boxing!!! kweliiiiii
2. Usiwe muongeaji sana mpe nafasi ya kuongea, isije kuwa unabaldili stori sana mpaka anabaki anakushangaaa tu.
3. Usiwe na mada/topics ngumu, sasa hiyo Escrow mpaka rais mwenyewe haelewi wewe leo unataka mtoto wa watu akueleze nini? Uliza vitu simple na mtaenda sawa tu. Muulize hata kuhusu nywele zake (kama anazo nzuri lakini) au hata pochi na mambo mengine. Kuwa msikilizaji zaidi na mfanye ali relax

Unasema mkiwa outing 'haongei', je ni mazingira/wakati gani huwa 'anaongea'? Anapenda nini?Hivi wadau mkiwa date ni lazima watu muongelee mapenzi mwanzo mwisho?Au kwenye date kama hii ambapo mpenzi anakaa kimya mwanzo mwisho unafanyaje? Au hanipendi?
Mkuu unaendaje Date na "Mtoto" unategemea nini?? Kuna mtoto anajua Escrow&Co ..?? umeshaona tatizo lilipo.!!!! haahaha Muulize mambo ya Tom&Jerry Ben10 dexta N.k uone kama hajui......!!!!