MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,553
- 41,467
Nimekwambia upate kibali kutoka meza Kuu, Mkuu akikuruhusu uzae na mie kipingamizi kingine ni kipi...?
Kazi kwako
meza kuu ndio ipi hiyo na huyo mkuu ni yupi niunganishe nae
Nimekwambia upate kibali kutoka meza Kuu, Mkuu akikuruhusu uzae na mie kipingamizi kingine ni kipi...?
Kazi kwako
meza kuu ndio ipi hiyo na huyo mkuu ni yupi niunganishe nae
Naomba namba ya uyo mama.
Afadhali umemshauri vizuri, hivi kwa maisha ya sasa "wamemwachia nyumba 4 na costa 3 na prado moja" huu ni utajiri au bado ni mtafutaji tu.Sasa tumshauri rafiki yako au tukushauri wewe?
Mimi nakushauri acha kutazama watu nje na kuwa judge wana hiki na kile...
umasikini na utajiri ni vitu complex kuliko vinavyo onekana kwa macho
namba ya gari?gari lipi kati ya hizo coaster na hiyo prado