Edson
JF-Expert Member
- Mar 7, 2009
- 9,985
- 5,707
Ama kweli...... Ndoa ndoanooo,kila leo afazali ya janaaa
vipi yule jamaa yako alifumania?
Ama kweli...... Ndoa ndoanooo,kila leo afazali ya janaaa
Unauliza kosa gani usilosamahewa,ivi ungemfumania wewe na mdogo wako au mtoto wa babako mkubwa ungemsamehe au ungemuita majina yote ya kashfa? jambo usiloliweza kulistahmilia usimfanyie mwenzio, na kama wewe mwanmme ume rubuniwa na mwanammke umebakia nini tena? mwanamke pia anamoyo yani huyo mwanamke kama yuko akilini mwangu mimi na watoto pia nawambia babaenu alikufa zamani sana wakati mnamiaka miwili... yani mimi nachukia wanaume kama wewe
yani umekosa kote huko nje mpaka sister wake?