Recent content by miss naire

  1. miss naire

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha mikate (bakery)

    Asante
  2. miss naire

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha mikate (bakery)

    Duuuuh nikajua 10m kianzia
  3. miss naire

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha mikate (bakery)

    Naomba mwenye uelewa wa kufungua kiwanda cha mikate garama na vifaa vyake vyote vinavyo hitajika anipe ABC
  4. miss naire

    JamiiForums Tanzania Fursa ya mafunzo kukuza ujuzi kwa njia ya uanagenzi(apprentice), Kwa hatua hii vijana tutanufaika sana tuwahi fursa

    msaada wa majina ya arusha pls natembelea web ya chuo husika naona ya ufundi umeme tu,fani zingine hayagunguki
  5. miss naire

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia kwenye hizi ajira

    kwanza kwa kweli nikupe pongezi na hongera nyingo,hatimaye Mungu kasikia kilio chako,kulala ukumbini kwa watu sio mchezo,kwa upande wangu ni pongezi tu hayo mengine tusubiri wadau
  6. miss naire

    JamiiForums Tanzania Kuto kuitwa kwenye usaili Utumishi

    utumishi hawaangalii mwaka ulio maliza eti wampe wa nyuma kisa kasota mtaani,utumishi wako very fair kama umemaliza 2018 na una vyeti umefanya pepa ukafaulu kumzidi aliye maliza 2015 anaye pangiwa kazi ni wa 2018.So utumishi ni ww mwenyewe kufaulu kwako ndo kuingia kazini
  7. miss naire

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuomba ajira za Tume ya Taifa ya Uchaguzi

    afadhali nilijitumia siku hiyo hiyo tangazo lilipo toka sijui alhamis au ijumaa
  8. miss naire

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza vitenge

    Nashukuru sana, na je Congo mnavyo chukulia ni hizi Wax na Java au? Maana Java nyingi au Wax nyingi zimeandikwa made in China naomba kufahamu please na bei kule inakuwaje? Swala la kuuza hakuna shida ntakuwa na frem lakini pia kuuza online nitauza.
  9. miss naire

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza vitenge

    Mwenye uelewa kuhusu hii biashara naomba dondoo, mzigo unapatikana vipi, ni China au Congo? Ukihitaji kuanza mtaji unagarimu kiasi gani naomba mwenye uelewa hapa anijuze.
  10. miss naire

    JamiiForums Tanzania Jamani naombeni mnisaidie hata kazi za ndani kwa hapa DSM

    msaidie basi huo mtaji wa elfu kumi mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. miss naire

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    jaribu hata makampuni ya simu kuwa freelancer au call centre kama utapata Sent using Jamii Forums mobile app
  12. miss naire

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    duuh mpaka huruma pole na bado unalala ukumbini au umesha hama Sent using Jamii Forums mobile app
  13. miss naire

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mwalimu level ya degree ni kiasi gani

    Lapf contribution kwa nn iwe 5% while sekta karibu zote tunakatwa 10% ya basic salary Sent using Jamii Forums mobile app
  14. miss naire

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hii shule ya St. Jude Arusha ukiomba kazi lazima ulipie?

    mm nipo hakuna pa kuchangia una apply post gani Sent using Jamii Forums mobile app
  15. miss naire

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hii shule ya St. Jude Arusha ukiomba kazi lazima ulipie?

    hakuna cha kulipia wameandika email ya kutuma CV hiyo form unayp jaza ni ya wapi??? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom