EveningStar
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 262
- 162
Habari wakuu,
Mimi ni mtafuta ajira kwa muda mrefu sana na hatimaye MUNGU kanijalia nimefanikiwa kupata kazi hivi karibuni serikalini kwenye taasisi iliyo chini ya wizara ya afya kupitia utumishi. Kwahiyo naombeni kuuliza kwa wazoefu wa ajira je, ni mambo gani ya kuzingatia ukiwa katika hizi taasis?