Kuto kuitwa kwenye usaili Utumishi

Kuto kuitwa kwenye usaili Utumishi

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,511
Jaman tusikate tamaa hasa kwenye suala la kutafuta ajira huwez jua bht yako ipo wapi, kukosekana TAA/TASAC kusikupe mawazo sasa ipo hivi, kama wewe umemaliza chuo mwaka jana 2018 possibility ya utumish kukuchukua ni ndogo sana sababu kuna watu toka 2015 uko hawana ajira na daily wana apply so wanachofanya wanawapa chance wa nyuma kwanza ni chance ndogo wanatoa kwa freshers ndo ipo hivo. Usiniulize nimejuaje ila ndo ipo hivo.

Cha muhimu hakikisha profile yako una attach vitu muhimu wanavyo hitaji mfano wengi hatujaweka recomendation letter hasa hii ni muhimuu sana.

Cha mwisho tuendlee fight, na tuwatakie kila la kheri kwa wale mlioitwa kwenye usaili, msichezee bahat hio. Bahat wanasema hairudii mara 2
 
aaaaah... bahati gan tena mkuu? vijana tuwaze nje ya boksi.
 
utumishi hawaangalii mwaka ulio maliza eti wampe wa nyuma kisa kasota mtaani,utumishi wako very fair kama umemaliza 2018 na una vyeti umefanya pepa ukafaulu kumzidi aliye maliza 2015 anaye pangiwa kazi ni wa 2018.So utumishi ni ww mwenyewe kufaulu kwako ndo kuingia kazini
 
Back
Top Bottom