Natafuta kazi yoyote halali

Natafuta kazi yoyote halali

EveningStar

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2018
Posts
262
Reaction score
162
Habari zenu wakuu,

Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 29, elimu yangu ni shahada ya kwanza ya sayansi ya chakula na teknolojia. Naombeni mnisaidie kazi yoyote iliyo halali, sichagui kazi, nipo Dar es salaam. Kwa mawasiliano: 0758 106 501.

Ahsanteni sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaribu kufafanua katika fani yako uliyosoma,unaweza kufanya kazi gani inayoonekana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom