We jamaa sjawai kukuelewa na sitakaa nikuelewe... Yani Kila uchwao kufungua thread za kusababisha waislam na dini yao kutukanwa... Uko juu hauko sawa nadhan... Mkatoliki gani wewe una mambo ya kiwaki hivi... Unavyotumia na hiyo username ya Juma bas vichwa panzi wote wanaunga wakidhani ni...
Mkuu hatujafurahi hata... Kwanza hii habar sio ya leo.. au ndo Kwanza unaiona..?? Alaf si umesoma comments mpaka hapo ulipofika.. umeona Kuna muislam amefurahia...? Ingekua nyinyi sasa hahaha I bet tungekua page ya 100 sasa mkishindana kukashifu...
Ilinitokea pia posta.. ety nimuelekeze kituo Cha watoto yatima na nlikua nakijua Kiko temeke nkamwambia panda gar za temeke.. ghafla jamaa mwingine huyo anauliza shida Nini kwan..? akaelekezwa na yule jamaa wa Kwanza tukaanza kubishana Sana me nawaambia hapo posta sjawai kuskia iko kituo jamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.