Ofisi za RITA Temeke zipo wapi?

Ofisi za RITA Temeke zipo wapi?

Kelela

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2020
Posts
203
Reaction score
338
Habari za leo,
Husika na kichwa cha mada hapo juu.

Naomba kujua mahali zilipo ofisi za RITA wilaya ya Temeke kwa anayefahamu.

Natanguliza Shukrani. Ahsante!
 
Habari za leo,
Husika na kichwa cha mada hapo juu.

Naomba kujua mahali zilipo ofisi za RITA wilaya ya Temeke kwa anayefahamu.

Natanguliza Shukrani. Ahsante!
Hapo karibu na Uwanja wa Taifa yaani Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Temeke.
 
Back
Top Bottom