Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,542
- 55,060
Story tellerKwahiyo izo biz(man biznes)umebadili username au hii ni ID mpya?
Story tellerKwahiyo izo biz(man biznes)umebadili username au hii ni ID mpya?
Upo mkoa gani mkuuKwani ni vibaya mkuu? Si tai kubwa na tai ndogo?
Niko Moshi mkuuUpo mkoa gani mkuu
Hujajibu swali, ulivaa tai mbili?Kwani ni vibaya mkuu? Si tai kubwa na tai ndogo?
Una vituko hufananii na mchagaNiko Moshi mkuu
Hapana mkuu, mimi ni mtu mzima na heshima zangu. Nimejiunga juzi tu humu ndaniKwahiyo izo biz(man biznes)umebadili username au hii ni ID mpya?
Kwamba na hii ni yake?Kwahiyo izo biz(man biznes)umebadili username au hii ni ID mpya?
[emoji1732][emoji1732][emoji1732]The storyteller kwenye ubora wake..
Watu wazima ndio mnavaa tai mbili kwa wakati mmoja?Hapana mkuu, mimi ni mtu mzima na heshima zangu. Nimejiunga juzi tu humu ndani
Nimewaza hivyoKwamba na hii ni yake?
[emoji16][emoji16]AiseeHujajibu swali, ulivaa tai mbili?
Hata mimi nimeshangaa mkuu umemuumbuaWatu wazima ndio mnavaa tai mbili kwa wakati mmoja?
DuhUna vituko hufananii na mchaga
Labda fasheni mpya 😅😅Hata mimi nimeshangaa mkuu umemuumbua
Haiwezi tokea kamweKwamba na hii ni yake?
Kale ka tai kadogo ni kwa ajili ya kuzuia baridi kifuani, tai ndefu ndio ya uremboWatu wazima ndio mnavaa tai mbili kwa wakati mmoja?
Kwani hao mnaonipakazia walifanya nini humu? Mbona mnanipakazia watu wengi wengi tu?Nimewaza hivyo
AiseeHata mimi nimeshangaa mkuu umemuumbua