Kwaiyo hao wamarekani ndio kusema wanatupenda sana sisi watanzania? Hawa watu sio watu wazuri wakishaanza chokochoko ujue wanasababu zao binafsi watukome, watuache tuishi kama tulivyo kuliko yatakayotutokea tutakapoendelea kusikiliza figisu zao,
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazungu mbona wanaongea wrong Swahili na hatuwacheki, why sisi tukikosea tunasemana? Tuwe wazalendo. By the way kama prof. Anaongea hivyo jee kwa hao tunaowatoa kwenye kiswahili miaka saba then miaka minne kwenye kingereza? Hii niadhabu. Tuchague lugha moja ya kutumia kufundishia bila hivyo...
Nilitaka kuwa shabiki mzuri lakini ngoja niache kwanza kama ndio tunasomeka hivyo huko mtaani nisiharibu CV yangu ila wengine walishagundua wenzi wao ndio wanakopata michepuko so abiria chunga mzigo wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah anichukue na Mimi kama yupo huku jamani anilipe maana napenda sana kutangaza utalii nicheze na social media vizuri. Fursa kama izo tupewe na sisi wakawida jamani sio mastaa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.