Kama ningekuwa mimi ndio Rais ningetoa tamko leo leo

ingekuwa ubalozi wa USA ni kama ubalozi wa nchi zile zisizokuwa na nguvu, jiwe angefanya hvy mapema sana.
 
Yaani ubalozi wa marekani hapa nchi ningewapa masaa 3 tuu wawe wameshafungasha virago vyao hapa nchini.
Alafu ARV utapata wapi wewe?
Achana na ARV je condom utatoa wapi?
Matundu ya choo nani atakujengea? Vyandarua utapewa na nani?
Nani atakupa mkopo?
Kifupi jeuri ina kikomo, huwezi kumletea jeuri USA kwa hali ya Tz hii, utajiri wetu ni wa jukwaani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thubutuuuuuuu....

Yaniii asilimia kubwa Mambo yetu yote ni
KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI
 
Back
Top Bottom