Kushinda njaa na kulala njaa ni uzembe mkubwa sana

Ukitaka kutetea uzi wako sema ukila majani dushe linasimama kwa masaa sita na dushe linakuwa kubwa na refu kadiri unavyokula majani.
Hapo utaona miti yote imeishiwa majani maana wanaume wengi hasa wale wenye upungufu wa nguvu za kiume watamaliza majani yote na mwisho watakunya kama mbuzi full green!! Na wataanza kuita meeeee meeeeehh!!!
Hahahahaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwaio mkuu haja kubwa ilikua ya design ipi? Kama punje punje za mbuzi au mambo fulani kama ng'ombe? Kama hakuna chakula wengine wanasali na wanafunga na kuomba kesho yake unaenda kuhangaika mtaani neema hizo zinakuja...
 
Habari ya wakati huu wana jamii forum. Awali ya yote nipende kumshukuru Mungu kwa wakati huu alio tupa tena.

Niende moja kwa moja kwenye mada ,nimekuwa nikisikia hapa jukwani na mtaani watu wakitoa shuhuda kuwa wameshinda njaa au kulala bila bila ,kwa sababu ya kukosa kitu chakula . Nami pia katika maisha haya nilisha pitia maisha hayo .


Maisha hayo yalinifanya niwe na akili ya kuwaza kuhusu kula ,mwishowe nikawa naangalia majani walayo mbuzi hasa ya yaa juu nami nikawa nakula hayo hayo nakunywa zangu na maji nashiba vizuri kabisa ,

Kuna miti unaitwa mlawa kwa wenyeji wa wilaya hizi za mkoa wa Kilimanjaro ,wilaya ya Mwanga ,Same na eneo la boda ya Holili mpaka na county ya Taita taveta watakuwa wanafahamu vizuri huu mti,, huu mti mimi nimeula sana ,nakumbuka krisimas ya mwaka 2011 niliula sana nilikuwa sina namna yoyote ile ,,kagiza kakiingia mimi naenda zangu porini nakula mpaka nashiba nakurejea zangu kunywa maji na kulala.

Nikiwa marangu nilikuwa nakula majani ya mkibiriti na mshamana ,,Marangu hamna shida ya chakula sana kuna ndizi za kuvumbika ,za kuchoma ,matunda mengi na viazi vingi tu kama soya na shia .Mimi nilikuwa nimezoea zangu kula majani kwahiyo nilikuwa sina time na kuomba omba au kupika mchana kama hawajapika. Majani ya mkibiriti ni machungu sana lakini nilikuwa napambana nayo tu .


Nakumbuka nilivo jiunga chuo mwaka wa kwanza hali ilikuwa tete sana sana ya kifedha , kuna mti wa mparachichi ulikuwa njee ya hosteli nilikuwa napanda huko watu wanajua napunga upepo kumbe la hasha mimi nakula zangu majani huko juu kigiza kikiingia ,nashuka zangu nikiwa nimeshiba naenda kunywa maji tu na kulala zangu .

Hapo unakuta ushaenda kuwasalimia washikaji kwa kuwaambia na kuwashutukiza wakati mwingine ili ule mpaka umechoka unaona aibu . Unafanyaje sasa!!;;


Kikukweli kipindi nikiwa chuo mimi niliona sipaswi kulala au kushinda njaa hata kidogo akati taifa limejaa majani tele.

Niliamua pia sitaki kwenda kujiabisha abisha kwa kuvizia chakula kwa watu ,

Nakumbuka kuna Mama mmoja nilisoma nae alikuwa hajui differention na integration kwahiyo akawa ananiambia mwanangu uwe unakuja kwangu kunifundisha ,mimi nikawa natega masaa ya chakula ndo naibuka kwake ,mara nyingi nilikuwa naenda kwake saa 11 jioni ili nile na cha usiku kabisa nirudi nilale ,,nikaja kumfuma Mama huyo mahali ananisema kuhusu chakula , nilifadhaika sana lakini ndo ukweli huo anaongea .


Nilichukua maamuzi ya kujitegemea haswa kwenye chakula kwa kula zangu majani saa sina hela ya kununua chakula .

Maamuzi hayo yalinipa aman sana moyoni mwangu ,kwanza suala la kulala bila kula lilikuwa halipo , na nashukuru sana ule mparachichi ulikuwa karibu na bomba hivo ulikuwa na majini mabichi kipindi kirefu ,,kipind ukiwa hauna majani nahamia kwenye majani mengine mpaka semister inaisha .


Kiukweli niliikumbuka dona ya advance sana nikiwa chuo ,nilitamani sana nipate ule ugali.

Kwahiyo kulala au kushinda na njaa ni uzembe mkubwa sana ,hata kama nyumbani hamna hata alizeti ukaange au mahindi makavu uchemshe au ukaange

Cha kufanya angalia majani wanayokula mbuzi na wewe kula ,hutakufa trust me (tafuta ambayo sio machungu) .



Maisha ni sawa na kitu maauwa!
Maisha yanategemeana .
Kwamaelezo haya, hujawahi kukumbana na dhiki. Hv kama ingekuwa rahisi kiasi hiki unadhani wale ombaomba wangekuwa wanatafuta dhihaka namna ile? Semester nzima unakula nyasi, wewe una DNA za panzi sio bure (panzi anakula wadudu wadogo na nyasi)
 
Back
Top Bottom