Recent content by miss gisenyi

  1. miss gisenyi

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dar es Salaam: Mhadhiri wa Law school wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Dkt. James Jess afariki dunia

    Ana mchango mkubwa Sana katika upiganaji wa haki za binadamu Tanzania licha ya huo uccm wake....he was a great man
  2. miss gisenyi

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dar es Salaam: Mhadhiri wa Law school wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Dkt. James Jess afariki dunia

    Mungu amlaze pema mwalimu wangu hodari wa haki za binadamu.....alama alioacha katika tasnia ya Sheria ni kubwa sana
  3. miss gisenyi

    JamiiForums Tanzania Unaweza kumuachia mke wako simu yako aitumie kwa siku nzima?

    Japo ni mwanamke nnaweza muachia mpenzi wangu
  4. miss gisenyi

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Magufuli ateua Mwenyekiti na makamishna wa Tume ya Kurekebisha Sheria. Amteua Paul Kimiti kuwa M/Kiti wa Bodi ya NARCO

    Iddi Mandi ni mhadhiri shule kuu ya sheria chuo kikuu cha Dar es salaam
  5. miss gisenyi

    JamiiForums Tanzania Nini kinasababisha Lady Jaydee atake kujiua?

    project ya wimbo mpya wa msanii wa Rwanda DJ Pius amemshirikisha lady jaydee inazinduliwa siku si nyingi Kigali... hii habari ya kujiua ni mpya aisee
  6. miss gisenyi

    JamiiForums Tanzania Camouflagers na informers

    inawezekana.... kama una tabia ya kuwasoma watu na machale... kuna mtu nilimuhisi na nikajua ni Intel kutokana na tabia zake mtu mwngne angeona kawaida but nilitia Shaka uongeaji wake, kupotea potea ghafla na kufosi uchangamfu
  7. miss gisenyi

  8. miss gisenyi

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kwa kilugha chenu anaitwaje?

    Naam....
  9. miss gisenyi

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kwa kilugha chenu anaitwaje?

    mwakeye... mwirivu??
  10. miss gisenyi

    JamiiForums Tanzania Malkia Amanirenas: Shujaa wa kiafrika aliyeishinda dola ya Kirumi

    namfaham malikia wa Angola nzinga mbande alipigana na wareno kipindi kirefu akiongoza dola ya matamba, Angola ya sasa... alipambana na wareno kwa juhudi na Muda mrefu
  11. miss gisenyi

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kwa kilugha chenu anaitwaje?

    Muraho??
  12. miss gisenyi

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kwa kilugha chenu anaitwaje?

    Umugore
  13. miss gisenyi

    JamiiForums Tanzania Kati ya SAUT na UDSM wapi panafaa zaidi kwa kitivo cha SHERIA (LLB)

    law is a Profession ...mwanafunzi wa udsm na Sauti wote wanaweza wakawa the best Kama watasoma kwa bidii na kuwa wadadis katika taaluma yao... Haya mambo ya udsm is better than Nini sijui Ni ya Kitoto... nb:litakuja povu hapa mm Ni product ya udsm pia
Back
Top Bottom