miss gisenyi
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 699
- 498
Naam....Miss Gisenyi, kule kama unaenda Goma DRC?
Naam....Miss Gisenyi, kule kama unaenda Goma DRC?
Lo u.
Maaaaah.
duu mkuu una utani etiJokate
Nilisahau Jasusi Matata ni jeshi kamili!.Hapo kwenye rangi nyekundu ushafeli, wala sitohangaika kukusemea kwa mods.
Polee.
Najifunza kiturkish nikimaliza nitaanza kiturky cha mtaani kabisa nione maneno yao yapoje!..Kuna verb moja ya kifarance ikiwa na maana ya "kuanguka" or verb to fall matamshi yake yananiachaga hoi
Nilisahau Jasusi Matata ni jeshi kamili!.
kamweneKamwene mnyalukolo
Nyizukulu wane ale na sidaa ya kifuransa!😉Kinehe...
Hahaaaaaaaa 😁😁😁Nyizukulu wane ale na sidaa ya kifuransa!😉
Utani na nani?duu mkuu una utani eti
SISI KWETU ANAITWA MDALA,
KIKWENU JE?
SISI KWETU ANAITWA MDALA,
KIKWENU JE?