UTEUZI: Rais Magufuli ateua Mwenyekiti na makamishna wa Tume ya Kurekebisha Sheria. Amteua Paul Kimiti kuwa M/Kiti wa Bodi ya NARCO

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
754
3,097
UTEUZI.PNG
 
Warekebishe katiba. I mean tunataka katiba mpya ya wananchi.

Hizi sheria wanatunga kubana watumishi Wa uma na waandamanaji Wa CHADEMA hazina manufaa kwa taifa.

Tunataka sheria za kuwabana viongozi wakuu Wa nchi if possible washitakiwe kabisaaa.

Nikisema CCM, sema Janga la TAIFA

CCM........
CCM.......

CCM.....
 
Ikiwa sheria zilizopo haziheshimiwi na watawala hata ikirekibishwa bado haitakuwa suluhu ya kuheshimiwa kwa sheria.
 
Hivi kwa umri alionao Paul Kimiti bado anao uwezo wa kutafakari mambo ? Hivi huko ccm hakuna watu wengine wanaoweza hizi kazi mpaka mtuletee hawa wanaohitaji mikongojo ?
 
Hivi kwa umri alionao Paul Kimiti bado anao uwezo wa kutafakari mambo ?
Acha kudharau wazee wetu. Utazeeka pia, sidhani kama utafurahia dharau hizi. Ninyi ndio mnafanya vijana wa chama fulani kuonekana hawana uwezo wa kupambanua mambo na kuitwa majina ya ajabu. Adabu na heshima kwa wazee ni desturi nzuri ya kujivunia kwa kijana. Maana tunajua hapo kijana huyo anao uwezo wa kusikiliza na kuelewa anachoambiwa hivyo busara na hekima haikosekani kwake.
Mpaka hapa umekosa sifa hizo.
 
Ukweli usisemwe kisa eti utazeeka so what!! are we insane?
 
Acha kudharau wazee wetu. Utazeeka pia, sidhani kama utafurahia dharau hizi. Ninyi ndio mnafanya vijana wa chama fulani kuonekana hawana uwezo wa kupambanua mambo na kuitwa majina ya ajabu. Adabu na heshima kwa wazee ni desturi nzuri ya kujivunia kwa kijana. Maana tunajua hapo kijana huyo anao uwezo wa kusikiliza na kuelewa anachoambiwa hivyo busara na hekima haikosekani kwake.
Mpaka hapa umekosa sifa hizo.
Hivi Kimiti ana umri gani mkuu , kama ilikuwa lazima ateuliwe yeye si wangemteua hata mjukuu wake basi ?
 
Hivi kwa umri alionao Paul Kimiti bado anao uwezo wa kutafakari mambo ? Hivi huko ccm hakuna watu wengine wanaoweza hizi kazi mpaka mtuletee hawa wanaohitaji mikongojo ?
Inategemea umahiri wa kumpamba mkulu... Majuzi nilimuona huyo mzee tbc kwny mahojiano ya mambo mbalimbali.. Alitoa majibu ya kulambalamba miguu ya jiwe pale alipoulizwa anavyoona utendaji wake kulinganisha na watangulizi
 
Back
Top Bottom