Recent content by Misonge Jr

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni nyimbo zipi zinakukumbusha machungu ya mapenzi na hata kuzichukia kabisa?

    Break even - wa The script. kiukweli mungu ndie anayejua hali yangu kila nikisikia wimbo huu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hakika Mungu yupo! leo alfajiri nimenusurika kifo kwa ajali mbaya ya gari

    Hivi mbona mna fikra fupi namna hiyo. Unataka kumshukuru mungu kwa kipi haswa. Imeandikwa mshukuru mungu kwa kila jambo, jambo la kifo mnaliona dogo sana. Issue sio wengine kufa bali ni Neema uliyoiapata kwa siku hiyo ndio ya kushukuru kwayo. Unataka kusema kwakuwa watu wapo hospital wewe...
  3. M

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Jinsi ya kuweza kuhifadhi pesa kutoka katika mshahara

    Hilo swala la kutoluweka akiba ni wengi wanalo hiyo inategemea na mazingira aliyokulia je yamemjenga katika kuweka ama kutumia kuna mtu anachokijua ni kupata na kutumia kwa kuwa kisaikolojia kajengeka kuwa kesho ntapata zaidi ya hiki so basically hakuna anachotuficha hiyo kitu ipo hata mm...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vodacom leo mtamjua mteja mwenye hasira

    Seriously voda ni wezi tena walio kubuhu huo mchezo sio kwako tuu kuna mzee wangu mmoja kila akitia buku kwenye modem wanalamba asa sijui kwenye moderm kajiunga na nn kiukwel sheria ya online signature ipitishwe tu ili tuwasue hawa jamaa wanzingua mbaya
  5. M

    JamiiForums Tanzania Giant aliyezungumziwa na Sir Isaac Newton ni nani?

    Ni maGiant walioitwa manephili sons of god type ya goliath .
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuanzishwa darasa la kujifunza kisukuma Marekani (US)

    Lool nahene lolo Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume akishakuwa na pesa, huwezi pata mpenzi wa kweli..

    Aisee huyo mtu ndo alikufa 1999 au alikuacha na pole sana kaka
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ufanye nini mwenye pesa akikupora mke?

    Hakuna huo ni uhanithi yaan kamvulia mtu mwingine na mm nije kuingia tena hapo hapo. Na mbaya zaidi ni wakati wa njaa kali ndo kasepa! Hata aniroge imekula kwake. Wacha nife na ukwasi kama sikupata mwingine lakini siwezi kula matapishi ya mtu mwingine. Nimng'ang'anie umekuwa mgodi nikiingia...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mungu naomba uniweke salama nishuhudie Lowassa akiapishwa

    Sijapata mgao so no comment ..... Sent from my ghetho
  10. M

    JamiiForums Tanzania Masikini gari yangu niliyoagiza, uchakavu kodi mpya!

    Sheria za customs hazizungumzii BL date bali the day assessed I mean the day goods were arrived. Cahecking the BL date and what if the vessel did not reach at the destination for instance it sank utasemaje kwa hilo. What matters ni date of arrival au kwa urahis ni Manifest Submission. Sent...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Aina ya watu na vitu vinavyoudhi zaidi maofisini!!

    Kidumuuuuuuuu daima Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  12. M

    JamiiForums Tanzania Masikini gari yangu niliyoagiza, uchakavu kodi mpya!

    Nicheck private msg nikupe qoutation Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  13. M

    JamiiForums Tanzania Masikini gari yangu niliyoagiza, uchakavu kodi mpya!

    There is no way atathibitisha unless apate assessment before 1st July ambayo kama ina arrive 14th july haiwezekan kupatikana so kiukweli hana jinsi ni kujipanga tu kuumia na kodi mpya Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  14. M

    JamiiForums Tanzania Namba mpya za Pikipiki kuanza na TZ badala ya T hapa imekaa vizuri..!!!

    Nimekuelewa na ni mtumiaji mzuri wa customs systems na mtendaj katika hyo field Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  15. M

    JamiiForums Tanzania Namba mpya za Pikipiki kuanza na TZ badala ya T hapa imekaa vizuri..!!!

    Mnaoishi kwa kudalalia vya wenzenu mna shida kweli Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Back
Top Bottom