Vodacom leo mtamjua mteja mwenye hasira

Vodacom leo mtamjua mteja mwenye hasira

Seriously voda ni wezi tena walio kubuhu huo mchezo sio kwako tuu kuna mzee wangu mmoja kila akitia buku kwenye modem wanalamba asa sijui kwenye moderm kajiunga na nn kiukwel sheria ya online signature ipitishwe tu ili tuwasue hawa jamaa wanzingua mbaya
 
Inawezekana hukuwa na credit, wakati huo huo data package ilikuwa active kwa hiyo ulivyoweka Tu kabla hata ya kujiunga data ikala 29sh za chap chap..yaweza kuwa sio VODA ni uelewa wako tu.

acha kuwatetea hawa jamaa wezi sana, mm pia huwa naunga kifurushi lakini cha kushanganza hela inakua inaendelea kukatwa jamaa wajing*#@ sana
 
Yaani siku hizi kila nikiweka hela lazima mnikate bila sababu wakati sijajiunga na huduma zenu uchuro za kutuibia pesa, hiyo haijaniuma sana.

Kilichoniuma zaidi, mmeanza kumkata mama yangu mzazi wakati hizo huduma hawezi kuzitumia kabisa, yeye ni kupiga kupokea na kutuma msg tu.
Cha ajabu sasa hivi akiweka jero tu, mnalitafuna lote hali inayomfanya akiweka aunge kifurushi cha hela yote wakati huo huo utafikiri hiyo vocha ameiiba.

Sasa nawaambia hivi, kutokana na ugumu ninaopata katika kupata hizo pesa, nawapa masaa 8 kutoka sasa muwe mmeshamaliza hilo tatizo ikiwa ni pamoja kurudisha hela mlioiba bila taarifa.
Namba yake ipo PM kwako.
Tutaheshimiana tu.
Vodacom Tanzania

Hawaujui ugoro,chibuku na ndoba hawa
 
Last edited by a moderator:

Jamani kumbukeni tunakaribia uchaguzi mkuu na hizi kampuni kubwa nchi na taasisi mbalimbali za serikali wakiwemo na matrafiki pia saa hvi wapo kwenye harakati za kukichangia kile chama kinachoamini kitatawala milele kwa hilo lazima pesa itafutwe kwa nguvu zote ili kuhakikisha kile chama kinapata pesa ya kutosha kununulia wapiga kura wasiojielewa na kuhonga sehemu mbalimbali
 
Kama unatumia Smart Phone mtalaumu mitandao yote kwani huwa kuna running applications kama hukuweka kifurushi cha internet inatafuna fedha zako. Hivyo ni vema ukafunga data connection
 
Inawezekana hukuwa na credit, wakati huo huo data package ilikuwa active kwa hiyo ulivyoweka Tu kabla hata ya kujiunga data ikala 29sh za chap chap..yaweza kuwa sio VODA ni uelewa wako tu.

hilo ndiyo tatizo mkuu Eli79 ila wale customer care yao hawaelezi ukweli
 
Yaani siku hizi kila nikiweka hela lazima mnikate bila sababu wakati sijajiunga na huduma zenu uchuro za kutuibia pesa, hiyo haijaniuma sana.

Kilichoniuma zaidi, mmeanza kumkata mama yangu mzazi wakati hizo huduma hawezi kuzitumia kabisa, yeye ni kupiga kupokea na kutuma msg tu.
Cha ajabu sasa hivi akiweka jero tu, mnalitafuna lote hali inayomfanya akiweka aunge kifurushi cha hela yote wakati huo huo utafikiri hiyo vocha ameiiba.

Sasa nawaambia hivi, kutokana na ugumu ninaopata katika kupata hizo pesa, nawapa masaa 8 kutoka sasa muwe mmeshamaliza hilo tatizo ikiwa ni pamoja kurudisha hela mlioiba bila taarifa.
Namba yake ipo PM kwako.
Tutaheshimiana tu.
Vodacom Tanzania
Habari Mkiu, ahsante kwa kulifikisha hili kwetu, tumekujibu kupitia PM mkuu.
 
Hawaujui ugoro,chibuku na ndoba hawa

Mkuu kama umeniona hivi.
Yaani sasa hivi nimekaa na chibuku hapa tena sasa hivi wameboresha ina nafaka nyingi kweli na inafoka povu balaa, hii haina haja ya kula manake ni lishe tosha.
Baada ya hapa, napiga ndoba kadhaa ili kusafisha mdomo halafu niwafate hawa wapuuzi mlimani city nikawaoneshe kazi.
 
Na hawa jamaa ukipigia Huduma kwa Wateja hawakawii kukwambia umedikia kiwango cha mwisho ili usiendelee kuwasumbua. Kama upo jirani dawa ni kuwapandia ofisini kwao.
 
mi nilidhani inatokea Kwangu tu Maana nikiweka buku inaisha bila hata kutumia hivi mbona hii mitandao wamekua wezi;mpaka leo siwaelew kbs
 
Sasa nashindwa kuelewa air tel sio wezi naona kama 2 weeks mtandao ni shidaaaa sasa cjui mtandao wa kuhamia ni upi

Kitu nlichoona kuhusu hii mitandao ina badilika kutokana na sehem...kwangu mimi by now natumia internet ya airtel na iko very fast..nikienda sehem ambayo airtel wanazingua naamia voda au tigo maisha yanasonga!!! Ila kwa wizi huu kwa kwel inatia huruma!! Cc Vodacom Tanzania
 
Last edited by a moderator:
Hehehehehe hilo janga lingine ni sawa na kuruka mkojo na kukutana na kinyesi
 
Kama unatumia Smart Phone mtalaumu mitandao yote kwani huwa kuna running applications kama hukuweka kifurushi cha internet inatafuna fedha zako. Hivyo ni vema ukafunga data connection

Na mim ambaye nikiwa situmii nakatwa inakuaje???? Na mda mwingine nimejiunga bandle lakin pesa yangu inaliwa hii nayo iko vipi??,???

NB . Usisingizie kuacha net on..maana kwangu inakua on ikiwa tu natumia
 
Khaaaa...halafu nyie Vodacom Tanzania mna dharau mjue...kwa hiyo mmemuona Mkiu tu ndo mtu sisi wengine tunaolalamika hapa visiki...

Badala mje mjibu malalamiko mnakija kujishaua eti mshamjibu pm...khaaa....!!!!!????
 
Last edited by a moderator:
eli79, maelezo yako hayapishani na majibu niliyopata toka customer care ya Vodacom Tanzania. Lakini niliwauliza how come within 5minutes shilingi elfu tano ziishe zote na huku siko active kwenye data? Kimsingi majibu ya wahudumu wawili ambayo nimeya record yamepishana ndani ya nusu saa nilipokuwa nahoji upotevu wa pesa yangu. Huduma zao kwa sasa ni questionable!
 
Last edited by a moderator:
Khaaaa...halafu nyie Vodacom Tanzania mna dharau mjue...kwa hiyo mmemuona Mkiu tu ndo mtu sisi wengine tunaolalamika hapa visiki...

Badala mje mjibu malalamiko mnakija kujishaua eti mshamjibu pm...khaaa....!!!!!????

Hahahahaha😀😀 you made my day
 
Last edited by a moderator:
Yaani siku hizi kila nikiweka hela lazima mnikate bila sababu wakati sijajiunga na huduma zenu uchuro za kutuibia pesa, hiyo haijaniuma sana.

Kilichoniuma zaidi, mmeanza kumkata mama yangu mzazi wakati hizo huduma hawezi kuzitumia kabisa, yeye ni kupiga kupokea na kutuma msg tu.
Cha ajabu sasa hivi akiweka jero tu, mnalitafuna lote hali inayomfanya akiweka aunge kifurushi cha hela yote wakati huo huo utafikiri hiyo vocha ameiiba.

Sasa nawaambia hivi, kutokana na ugumu ninaopata katika kupata hizo pesa, nawapa masaa 8 kutoka sasa muwe mmeshamaliza hilo tatizo ikiwa ni pamoja kurudisha hela mlioiba bila taarifa.
Namba yake ipo PM kwako.
Tutaheshimiana tu.
Vodacom Tanzania

Nimecheka leo, sijuwi kama ntacheka tena kama leo! Mi nimejiliza weeeeee hivi huu msala wangu peke yangu au vipi!
Kuna haja ya kwenda kufanya usafi pale Makao Makuu yao mwakani Nyerere Day!
Wasizinguwe kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom