hasa mwanamke ukiwa ni mzuri ,anaona utamsaliti,nilivumilia mengi ila aliponigeuza ngoma nilishindwa kuvumilia, hata hivo simlaumu kwani kwakua naye nilijifunza mengi,nashukuru mungu ilikuwa ni uchumba kwani ingekuwa ni ndoa ningekufa kijerumani tai shingoni.
mh Mimi aliwahi kunipiga ila sikuwa nakosa nilijisikia vibaya ni mchumba,duh nkawaza ikifika ndoa itakuaje??aliniipiga kama mtoto,sikupenda kwa kweli na si Mara. yake ya kwanza mapenzi yalipungua ,nikawa namuogopa ,nikawa najishtukia kila nkiwa naye cha kufanya nlirudi zangu kwetu,still bado...
ni kweli kulikuwa na watu wengi ila askari ndo wenye makosa wameua mtu kwa risasi sasa wakaenda hapo hospitali wakawa wanataka kuchukua mwili wa huyo maiti waupeleke kwenye mgodi waseme aliuliwa huko wakati ameuliwa na askari sasa ndugu wa marehemu ndo wakawa wameingilia kati,
I miss my mama too,I was 13ulivoniacha ,nimemis tabasamu lako ,hukukubali nikose kitu,I miss u so much Emma,wangu,kuna saa nahisi nj ndoto huenda ukaamka
Mimi ni mjamzito wa miezi tisa(9) ,ni mgeni hapa ,tatizo linalonisumbua ni kuhusu ulimi ,yani napata shida umetokea na kama fangasi ,kooni nasikia ukavu.
Mwanzoni kabla sijajiunga nilikuwa nafatilia hili jukwaa na post za mzizi mkavu akawa amesema kuhusu maswala ya vitunguu swaumu ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.