Recent content by Misitu Yetu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete asipopelekwa mahakamani nitaukana uraia wa Tanzania

    jk, ridhiwani kikwete, a.kinana, mwigulu nchemba, or nk ni watu wa kufikishwa mahakamani mchana peuipeeee
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nilifikiri anatania ....anakuja kweli!

    Samahani sijui dini yako lakini maandiko matakatifu Biblia yanasema hivi dhambio ya zinaa tunatakiwa kuikimbia sana sana. Hivyo mpokee mpeleke nyumbani mwambie wife na atakuelewa then mtafutie gesti karibu na home na mkabidhi wife huyo mgeni amshughulikie kama vile kumeet mahitaji yake...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa Mjumbe Uchaguzi TFF ningepiga HAPANA kwa Rais JAMAL EMILY MALINZI.

    NYAMLANI ni hakimu wa Mahakama ya Hakimu Kazi Kinondini leo ndo mnataka kumpitisha awe rais wa TFF JAMANI WACHENI FITINA. Haya wekeni sokam la bongo rehani
  4. M

    JamiiForums Tanzania Serikali imeamuru katiba ya sasa ya tff ifutwe

    Nilikwisha sema Iddi na NYAMLANI WANA LAO... TULIMKATAA MHESHIMIWA NYAMLANI ambaeni HAKIMU MKAZI WA MAHAKAMA YA MKOA KINONDONI. Haiwezekani Hakimu Mwajiriwa wa serikali akawa Rais wa TFF. Haiwezekani tena etui wakasuka njama eti ndo awe mgombea pekee wa TFF uRAIS. iMEKULA KWAO NA FITINA AZAO
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jamani laana hii ni ya kujitakia!!!!!!!

    Hii ni mali ya adam kimbisa, inasemekana ni fisadi mkubwa sana, ni mwenyekiti ccm mkoa dodoma, ni mbunge bunge la afrika mashariki, ni kada wa ccm. Kwa taarifa za siku nyingi ni kwamba kile kiwanja kilikuwa cha kanisa lutheran
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tawi la CHADEMA - Kongwa kwa waishio Dar na Pwani, kwa mapambano

    jamani hongereni sana sasa na sisi wa CHILONWA ebu tuamkeni basi mambo ya maccm sitaki kuyasikia magamba kabisa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Clouds FM (Power Breakfast): Ni sahihi kabisa Bunge lisionyeshwe LIVE!

    clouds majinga tu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nitamuunga mkono mgombea Ubunge yeyote wa chama changu (CCM) jimbo la Ubungo kumng'oa Mnyika

    kama hujapata mwone mwiguli chemba atakupatia akutulize
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nitamuunga mkono mgombea Ubunge yeyote wa chama changu (CCM) jimbo la Ubungo kumng'oa Mnyika

    JUL;IANA SHONZE umeshapata bwana magamba?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu tusichezee hisia za mapenzi za wanawake!

    mwezinwenywe Januari 2013 kwahiyo ni baada ya kuona kachapika hana hela maisha magumu december effect ndo anajifanya kumkubalia mkaka wa watu safi sana kijana wanawake wajifunze sana
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Who won Kenya's first Presidential debate?

    Raila Odinga toshaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nitamng'oa Mnyika Ubungo - Juliana Shonza

    hata likigombea halipiti lijuliana shonza halina adabu saliti huni liende likatumike huko kwa mafisadi
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Neema FM hawaepuki Dhambi hii ya Buseresere, TRCA Nanyi Amkeni sasa!

    kwa habari ya udini muulize rais wako DR FAST JET, akishindwa kujibu muulize WAZIRI sokwe NAE AKIJIKANYAGA MUULIZE MJOMBAKE VICK kAMATA iNJINIA nDIKILO.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

    WACHA YAENDE OIL CHAFU HIZO. YALITUMWA YAIBE SIRI CHADEMA YAMEKUTA MOTO MZITO CHINI YA KAMANDA MBOWE SASA WACHA YAENDE KWENYE MAGAMBAZ. t2015 CHADEMA
  15. M

    JamiiForums Tanzania Spika Makinda atumiwa SMS zaidi ya 400 'za matusi'

    na tena siyo kuyatukana bali yazomewe tu
Back
Top Bottom