Nilifikiri anatania ....anakuja kweli!

Nilifikiri anatania ....anakuja kweli!

Owe msengelee duu,umdumilye ne nomba ya kogona, mdao umtwale komadokaa wagole ya kogola, omshokye kenepikilee, lontondo lwakatato mapema kidaudau umtwale kustendi washoke kumwakwe

mh! ukabila huo.
 
Salaam!
Miezi kadhaa iliyopita nilkuwa safari katika Wilaya moja mpya !Bahati mbaya sana kijijij tulipofikia [ambayo ni makao makuu ya wilaya hiyo]Kupata chakula nyakati za jioni ni shida! na hapo ndipo mchezo ulipoanzia!
Baada ya kupata nyumba ya kulala tuliamua kwenda kutafita chakula! Njiani tulikutana na dada mmoja wa makamo,tulimwomba atuelekeze sehaemu tunapoweza kupata mlo...alionesha kushtuka kama kweli kwa mida hiyo tungepata chakula! Hata hivyo alituonesha !
Kama alivotarajia dada yule hatukupata chakula!...tuliamua kununua maji na kwenda kulala!Njiani tulikutana tena na yule dada akitikea dukani kwake ....tukamwelezakuwa hatukufanikiwa!Alitafakari kidogo na kutuambia 'twendeni nikaandalie chakula nyumbani kwangu' kwa namana ya wasifu wake wa nje ulivvyo na mazingira ya kijijini ilitosha kutuaminisha kuwa yule dada ni muungwana ,hivyo kukataa ilikuwa ni ngumu!
Tuliandaliwa chakula kitamu cha usiku.
Katiak maongezi yetu nilifahamu kuwa licha ya kuwa ni nesi pia ni mfanyabiashara wa nguo! na huzifuata Kampala Ugand ....nilimhoji kama anafahamu DAR akasema hajawahi,......nikampa changamoto kuwa ni vema akahamu mji mkuu wa nchi yake na angalie kama anaweza kunufaika na bidhaa rundo kutika Dubai na China Kariakoo ,aliahidi kuwa kuna siku angekuja!
Nilipeenda mara ya pili nilimtembelea ofisini kwake ....wakati ananiaga alinifanyia kitu cha ajabu.......alisimama akanibusu na kuniambia pamoja kuwa [mimi] nipo kilomita zaidi ya elfu moja [kutoka kwao] ila siku moja atanifuata kwani ametokea kunipenda ajabu!
Leo asubuhi nimepokea simu kuwayupo njiani anakuja DAR !
Nimpokee saa 4!a
Nimeshindwa cha kufanya hata kuuliza anafikia wapi [tayari aliniambia hana ndugu wala rafiki Dar (isipokuwa mimi labda)
SIJAJUA NITAMHANDLE VIPI NA SIWEZI MWAMBIA MKE WANGU GHAFLA NAMNA HII
NIFANYEJE

mlete akae kwangu...
 
Hujamalizia hadithi yako sasa inakuwa ngumu kuchangia, alipokupiga busu na kukwambia anakupenda ulimwambiaje, ulikubali? Uliwahi kumwambia kama una mke Dar au ulijifanya upo singo, Umewahi kuonesha kuwa mko wapenzi kwa namna fulani? Alipowapikia chakula uliishia kula chakula cha nafaka au na kile kingine ulikula?

Naona tu anaelezea mambo yasiyo ya msingi na ya msingi yanaachwa. Haiingi akilini huyu dada afunge safari kuja kwa mtu anayempenda huku akijua ameoa na anaishi na mke!! Sidhani tu picha nzima ilianzia na kuishia na busu kule kijijini. Ni matendo au maneno aliyosema baada ya hapo ndio yanaleta kadhia hii.

Uongo au siri za kipumbavu humpeleka mtu pabaya. Huyu dada lazima ahudumiwe kwa kila hali (apelekwe hata huko Kariakoo kama alikuja kufanya hilo pia) mpaka atakaporejea huko kijijini.

Ushauri wangu ni kuwa mkeo/familia visiingizwe kwenye kadhia hii. Hawawezi kuwa victims!!
 
Salaam!
Miezi kadhaa iliyopita nilkuwa safari katika Wilaya moja mpya !Bahati mbaya sana kijijij tulipofikia [ambayo ni makao makuu ya wilaya hiyo]Kupata chakula nyakati za jioni ni shida! na hapo ndipo mchezo ulipoanzia!
Baada ya kupata nyumba ya kulala tuliamua kwenda kutafita chakula! Njiani tulikutana na dada mmoja wa makamo,tulimwomba atuelekeze sehaemu tunapoweza kupata mlo...alionesha kushtuka kama kweli kwa mida hiyo tungepata chakula! Hata hivyo alituonesha !
Kama alivotarajia dada yule hatukupata chakula!...tuliamua kununua maji na kwenda kulala!Njiani tulikutana tena na yule dada akitikea dukani kwake ....tukamwelezakuwa hatukufanikiwa!Alitafakari kidogo na kutuambia 'twendeni nikaandalie chakula nyumbani kwangu' kwa namana ya wasifu wake wa nje ulivvyo na mazingira ya kijijini ilitosha kutuaminisha kuwa yule dada ni muungwana ,hivyo kukataa ilikuwa ni ngumu!
Tuliandaliwa chakula kitamu cha usiku.
Katiak maongezi yetu nilifahamu kuwa licha ya kuwa ni nesi pia ni mfanyabiashara wa nguo! na huzifuata Kampala Ugand ....nilimhoji kama anafahamu DAR akasema hajawahi,......nikampa changamoto kuwa ni vema akahamu mji mkuu wa nchi yake na angalie kama anaweza kunufaika na bidhaa rundo kutika Dubai na China Kariakoo ,aliahidi kuwa kuna siku angekuja!
Nilipeenda mara ya pili nilimtembelea ofisini kwake ....wakati ananiaga alinifanyia kitu cha ajabu.......alisimama akanibusu na kuniambia pamoja kuwa [mimi] nipo kilomita zaidi ya elfu moja [kutoka kwao] ila siku moja atanifuata kwani ametokea kunipenda ajabu!
Leo asubuhi nimepokea simu kuwayupo njiani anakuja DAR !
Nimpokee saa 4!a
Nimeshindwa cha kufanya hata kuuliza anafikia wapi [tayari aliniambia hana ndugu wala rafiki Dar (isipokuwa mimi labda)
SIJAJUA NITAMHANDLE VIPI NA SIWEZI MWAMBIA MKE WANGU GHAFLA NAMNA HII
NIFANYEJE

Mkuu,
Tupe feedback ya kilichojiri.
Songela!
 
Si ulimwambia kama umeoa so cha kufanya mtafutie mahali pa kulala kwa siku hizo atakazo kaa ila then ufanye utaratibu wa kumwambia wife

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Salaam!
Miezi kadhaa iliyopita nilkuwa safari katika Wilaya moja mpya !Bahati mbaya sana kijijij tulipofikia [ambayo ni makao makuu ya wilaya hiyo]Kupata chakula nyakati za jioni ni shida! na hapo ndipo mchezo ulipoanzia!
Baada ya kupata nyumba ya kulala tuliamua kwenda kutafita chakula! Njiani tulikutana na dada mmoja wa makamo,tulimwomba atuelekeze sehaemu tunapoweza kupata mlo...alionesha kushtuka kama kweli kwa mida hiyo tungepata chakula! Hata hivyo alituonesha !
Kama alivotarajia dada yule hatukupata chakula!...tuliamua kununua maji na kwenda kulala!Njiani tulikutana tena na yule dada akitikea dukani kwake ....tukamwelezakuwa hatukufanikiwa!Alitafakari kidogo na kutuambia 'twendeni nikaandalie chakula nyumbani kwangu' kwa namana ya wasifu wake wa nje ulivvyo na mazingira ya kijijini ilitosha kutuaminisha kuwa yule dada ni muungwana ,hivyo kukataa ilikuwa ni ngumu!
Tuliandaliwa chakula kitamu cha usiku.
Katiak maongezi yetu nilifahamu kuwa licha ya kuwa ni nesi pia ni mfanyabiashara wa nguo! na huzifuata Kampala Ugand ....nilimhoji kama anafahamu DAR akasema hajawahi,......nikampa changamoto kuwa ni vema akahamu mji mkuu wa nchi yake na angalie kama anaweza kunufaika na bidhaa rundo kutika Dubai na China Kariakoo ,aliahidi kuwa kuna siku angekuja!
Nilipeenda mara ya pili nilimtembelea ofisini kwake ....wakati ananiaga alinifanyia kitu cha ajabu.......alisimama akanibusu na kuniambia pamoja kuwa [mimi] nipo kilomita zaidi ya elfu moja [kutoka kwao] ila siku moja atanifuata kwani ametokea kunipenda ajabu!
Leo asubuhi nimepokea simu kuwayupo njiani anakuja DAR !
Nimpokee saa 4!a
Nimeshindwa cha kufanya hata kuuliza anafikia wapi [tayari aliniambia hana ndugu wala rafiki Dar (isipokuwa mimi labda)
SIJAJUA NITAMHANDLE VIPI NA SIWEZI MWAMBIA MKE WANGU GHAFLA NAMNA HII
NIFANYEJE

Samahani sijui dini yako lakini maandiko matakatifu Biblia yanasema hivi dhambio ya zinaa tunatakiwa kuikimbia sana sana. Hivyo mpokee mpeleke nyumbani mwambie wife na atakuelewa then mtafutie gesti karibu na home na mkabidhi wife huyo mgeni amshughulikie kama vile kumeet mahitaji yake, kumtembeza sehemu za jiji na mhakikishe kila siku mnakuwa na maombi mazito ya kukemea pepo la ngono kati ya ninyi wanafamilia. Kinyume na hapo utanguka na utajutia sana.
 
kaka nakushauri mpokee, mpangie gesti, lakini usijisogeze saaaana maana utasaliti mkeo. kumkimbia sio utu hata kidogo as long as aliwasaidia mlipokuwa na shida.
 
kaka hapo umeingia kingi bila kutegemea..wataalam wa draft tunaita false king.. unaenda kama gari bovu ...
 
Usiishie hapa ila endelea kutupa uhondo huu mpaka mwisho.
 
Jamani dada angu amemealiza vizuri ziara yake hapa mjini !.Hivi ninavyoengea waifu kampeleka akapigwe nywele za KIMASAI!
kESHO ANARUDI KWAO KAISHO,WILAYA YA KWERWA,KAGERA!
NAWASHUKURU WOTE MLIOFUATILIA KWA KARIBU ZIARA HII.
NAWASHUKURU WOTE TULIOSHAURIANA NAMNA YA KUUPOKEA UGENI HUU!
NAMSHUKURU MAMA WATOTO KWA KUNIVUMILA!
NAMSHUKURU YEYE MWENYEWE DADANGU KWA KUONYESHA UPENDO WA DHATI
SAS TUMEKUWA NDUGU
NAWASHUKURU WOTE WALIOKUWA WANASUBIRI NIWAPE MCHAPO JINSI GANI NILIVUNJA GANO LA NDOA!
NAWAHAKIKISHIA KUWA HAKUNA KILICHOTEKEA INGAWA SINA UHAKIKA KAMA UPANDE MWINGINE UMERIDHIKA!
JIONI NJEMA
 
Wewe ulimwambia wanini? aje dar? kwa dhumuni gani? wakati unajua una mke? kama ni hivyo mkeo ana pata shida sana juu ya tabia zako.
 
Back
Top Bottom