Recent content by mintolo jingi

  1. M

    Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

    Prof. Esron Munyanziza, the Coordinator of MSC program Agroforestry and Soil Management at the National University of Rwanda (NUR) passed away Monday 18th June 2012 in his residence in Taba-Huye District. He was found by his houseboy on Monday morning. Munyanziza's house boy said he broke the...
  2. M

    Profesor huyu alikuwa SUA Morogoro sasa ni mtu mzito Rwanda

    Pale Milambo sec alikuwepo mwl KATONDOLA alikuwa anafundisha french, alikuwa anaishi ktk moja ya stoo za jikoni. Nimkimbizi na alikuwa akituthibitishia hilo, kwa sasa nasikia kafanikiwa sana maishani though sijui yupo wapi Pale SUA alikuwepo profesor MUNYANZIZA akifundisha Plant Kingdom, baadae...
  3. M

    USHINDI wa Obama ni fundisho kwa wapinzani nchini Tanzania

    hapa ndipo tunapopata nafasi ya kuwapima wasomi wetu wenye kutumia akili kutafakari mambo na wale wenye kutumia matumbo kutafakari. kwa anayetumia akili vyema funzo litakuwa ni kwa watanzania na si kulenga kundi moja. Lakini kwa wanaotumia matumbo, kwao ushindi kwanza wananchi baadaye. Ni...
  4. M

    Kesi ya Lema kupigwa danadana

    hali ikifikia hapa, mara nyingi akili ndogo huwa inatawala akili kubwa. na kwa wenye busara na hekima huwa wanamlilia Mungu kwani ndiye pekee wa kuwanusuru
  5. M

    PICHA: Dr. Slaa atoa pole kwa familia ya marehemu Mwangosi

    hii picha imenitoa machozi, we have reached some stages of life, will this little boy reach the stage his father reach? au ndo police wamekatisha ndoto zake? so touching Mtoto wa hayati Daud Mwangosi akimsalimia Dr. Slaa kwa uchungu alipofika kuwapa pole.
  6. M

    washili na mkuu wao ndani ya uzinduzi wa kampeni arumeru

    wa kwanza kulia mwenye kofia ya njano na suti ya kijivu na shati la bluu ni mzee SUMARI, mkuu wa washili wa koo zote za meru, anatoka ukoo wa Sumari na pia anaishi jirani kabisa na nyumbani kwa marehemu J. S. Sumari. Kazi kwa CHADEMA kupambana na nguvu ya washili Swali la nyongeza,,,, SIOY...
  7. M

    Nape Kapotelea Wapi?

    kijana, kumbe ukiguswa unahaha kiasi hicho? lkn endelea vyema na kazi yako watanzania wamekutambua na sina shaka wakati wako ukifika utavua gamba ullilovaa, hofu yangu lisije likawa ni gamba la kitunguu
  8. M

    Serikali yadang’anya walimu

    asalaleeeeee!!!!!!!!! cheap labours na wakati mwingi wananegotiate while they are hungry and serikali inakuwa imeiona future yao zaidi ya wao wanavyoiona. poooooooooooooor teachers riiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiich mps
  9. M

    Serikali yadang’anya walimu

    duh, tatizo ni sourse au uhalali na uhalisia wa habari? jaribu kuwauliza walimu wakuthibitishie kama wamilipwa au hawajalipwa ndipo upost masaburi yako hapa.
  10. M

    Nape ni mwanzilishi wa CCJ

    :biggrin1: Mr Ng'hily hongera kwa comment zako, muhimu zaidi katika siasa za nchini hivi sasa ni kama vile tumeacha magugu na ngano vimee vyote then wakati wa mavuno tutatenganisha ngano na magugu "if all factors will remain coctant":biggrin1:
  11. M

    Rostam awaparamia CHADEMA

    ni kweli yeye (RA) ni mwanasiasa makini, unadhani ilikuwa kazi rahisi kumweka jk mikononi mwake! hata jimboni kwake amewageuza wananchi kuwa kama vimbola hata akiwatukana wanamshangilia na kumuabudu kuliko hata jk. umakimi wake ni katika kuwarubuni watu na kuiibia nchi bila jasho:smash:
  12. M

    Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

    duh, hii kali, nadhani ni bora kuwa na uhakika wa jambo kuliko kuhukumu bila uhakika. nenda kapewe dawa na babu usipopona njoo tuandikie:mullet:
  13. M

    How to use JamiiForums effectively

    hata mimi napata tabu kweli, nataka kuweka avart lakini nimeshindwa
Back
Top Bottom