Recent content by minewc

  1. minewc

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua karafuu kilo za kutosha

    Zanzibar
  2. minewc

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninamzidishia baba 500K kila nikitoa hela

    Nimejifunza kitu.. hii nzuri
  3. minewc

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumekuwa na wimbi la wanawake wengi kutokujua kupika wakuu nn chanzo mana inakera

    Vitu vingi vimerahishwa kwenye mambo ya jikoni kama rice cooker,tea maker,sandwich maker,lakini labda useme wawe wabunifu kwenye aina gani za misosi siziwe zile zile zina boa kwakweli,but pia ni mtu binafsi kujifunza na kuwa na hobby ya ishu za jikoni au upishi
  4. minewc

    JamiiForums Tanzania Ni kama vile Vunjabei anaelekea kufilisika

    😀😀😀
  5. minewc

    JamiiForums Tanzania Ni kama vile Vunjabei anaelekea kufilisika

    😂😂😂
  6. minewc

    JamiiForums Tanzania Wenzangu mnaombaje mpaka maombi yenu yanajibiwa?

    Asante imeniinua moyo na mimi,Stay Blessed 🙏🏾
  7. minewc

    JamiiForums Tanzania Wazawa tusiogope kupanda Mlima Kilimanjaro

    Inasemekana ukitaka kupanda Mt.Kilimanjaro ki afya lazima uwe vizuri hivyo ufanye mazoezi hasa ya kukimbia kidogo kabla hujapanda Je,hili limekaaje?
  8. minewc

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Bata: Aina za bata, ujuzi, gharama, changamoto, faida na masoko

    mkuu unaweza kutoa elimu jinsi ya kutengeneza mabanda ya bata ya kisasa?kwasabu umezungumzia usafi kwenye ufugaji wake naamini hata banda lafaa kujengwa kisasa sio kama tulivyozoea kuejnga banda la bata uwani karibu na choo
  9. minewc

    JamiiForums Tanzania Mtemi Mirambo VS Mtemi Mkwawa

    Toa mkeka boss ututoe tongotongo
  10. minewc

    JamiiForums Tanzania Rais Museveni ametumia gari lake kwenye ziara yake Tanzania?

    khaa
  11. minewc

    JamiiForums Tanzania SoC01 Improve and Maintain Good Health Forever

    Can you translate in swahili please? its a nice one ila sasa sisi wengine wa FB tutaishia kusoma headings tu hapo Ni wazo tu.
  12. minewc

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Hizi scale za mishahara zinatofautiana kutokana na sector mfano TRA wana scale zao,TANROADS wana scale zao, TPA wana scale zao kwaio ni nzuri uangalie kwenye hiyo position yako wameweka scale gani ndo uanzie hapo.
  13. minewc

    JamiiForums Tanzania SoC01 Baadhi ya vitu nitakavyowafundisha wanangu kabla ya kifo changu

    kikubwa uhai
Back
Top Bottom