Huo mvuje sijui ndo taka taka za dampo gani?
Mm watoto wangu wote wamezaliwa bila kufungwa uchafu wowote ule na wako poa tu mpaka sasa.
Mambo mengine kama hayo ya mvuje ni upungufu wa imani tu.
1:Panua paja mkaju waja.
2:Kipara bila elimu ni sawa na kovu.
3:Ukubwa wa mkate kiboko yake chai.
4:Mchagua papuchi si mgegedaji na mdharau papuchi qummer ya mama yake.
Haswaaaa. Hapo umenena mkuu. Ila kuna madem sijui ni kipato au ushamba? Ukipishana nae utafikiri umepishana na kuli yaani harufu yake inaweza kuzalisha umeme.
Hapa kidogo kuna marekebisho. Malkia wa Uingereza yeye ni kiongozi wa nchi na yupo pale alipo kama moja ya alama za nchi hiyo.
Lakini yeye si mhusika wa shughuli za serikali so waziri mkuu ndio kiongozi wa shuguli zote za serikali. Hivyo basi hata kama mfalme au malkia akiwa taahira shughuli za...
Ili umnase samaki kwenye ndoano lazima uweke chambo. So UONGO kwa mwanaume ni kama chambo kwenye ndoano.
Hivyo basi ukishaliwa uongo unakwisha kwa sababu samaki ukishamvua hahitaji tena chambo kinachobaki ni kuendelea kuliwa pande zote.
Kwa maisha ya sasa hivi kumpata mwanaume mwenye upendo wa kweli ni ngumu sana kwa sababu zifuatazo÷
1: Nywele zenu bandia
2: Nyusi mnatinda then mnachora za bandia.
3: Rangi ya ngozi zenu bandia.
4: Kope mnaweka za bandia.
5: Rangi za midomo nazo bandia.(mnapaka lipstick badala ya kuacha rangi...
Hivi wewe unaijua kanda ya ziwa vizuri? Kwa hiyo unaamini hiyo branch ya Chato ndo itawin market ya kanda ya ziwa?
Ni bora uandike kitu unachokifahamu kuliko kukurupuka.
Huo utelezi ndo dada yako aliukanyaga akateleza mpaka Dar. Na alipofika huko ukawa ndo ulimbo ambao unamfanya aishi Dar. Halafu utelezi huo ndo unaotelezesha nguo zako toka Dar mpaka bushi kwenu huko Nyamatongo. Kwa hiyo acha kuuponda utelezi toka kwa shemeji yako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.