Mke wangu ananiwekea masharti kwenye tendo la ndoa, nimechoka kuvumilia

Hahahah mkuu samahani umenifanya nicheke...hizi ndoa zina changamoto kweli kweli.

Yani unaweza kuwa umejipanga kwa mengi halafu linakuja hili..eti mke hataki umkojolee ndani.

Turudi kwenye mada;
- Kwa nini hataki umkojolee eti? Mmezungumza kuhusu uzazi wa mpango? Maafikiano yenu yalikuwaje?

- Umesema hili tatizo (changamoto?) limeanza lini? wakati wa uchumba wa miaka minne? baada tu ya kufunga ndoa? alipokuwa mjamzito? baada ya kujifungua? au siku za hivi karibuni?

- Je, yalikuja kwa pamoja - namaanisha kukataliwa kukojoa ndani na kupewa bao moja tu.

- Wakati anakutamkia hayo masharti anakuwa anakukaripia? Mnakuwa sebuleni kwenye mazungumzo tu ndo anakuambia kuanzia leo nimeamua hivi au wakati mpo shughulini? Zaidi hasa, lugha yake ikoje.

- Ukiachia hilo la kitandani, huduma nyingine unapata na mnafanya mambo mengine ya familia pamoja?
watu nje wanatomb.a!
 
Hamna hapo unatafuta sababu za kuchepuka kama alivo sema Hornet

Ikiwa wewe ndio unakosewa kwa nini usitoe talaka?
Sawa. Kwani mtu akiamua kuchepuka mpk atengeneze sababu. bwn we we fikili unavyojua wacha na mm nifanye ninachokiona kinafaa
 
Dawa ya moto ni moto,mwanawake wa sasa ukiumia yeye kwa matendo yake ovyo yeye anafurahi sana,anajiona kakukomesha chukua maamuzi magumu.
 


Habari za Pasaka aisee?

Mwenzenu nipo sitting bado natoa macho tu hapa sielewi nikalale au niendelee kuzuga kishikaji. Shemeji yenu kanipiga adhabu ya nguvu ambayo anajua vizuri lazima nitaathirika moja kwa moja.

Inshu iko hivi, nina mke na mtoto moja, nimekua kwenye mahusiano na mke wangu kwa kipindi cha miaka miwili kabla ya uchumba wetu uliodumu kwa miaka minne, kwa kipindi chote cha uchumba wetu hakukua na hii shida. Mke wangu siku hizi tukiwa tunasex hataki nimkojelee kabisa!! Anataka nichomoe mashine na nimwage nje, na bao napewa kamoja aisee hakuna zaidi, mara moja moja huwa naotea bao mbili mpk ajisikie mwenyewe lkn. Iwapo nitathubutu kumkojolea , anachukia sana siku nzima atakununia na kinachofuata ni kunyimwa sex ata kwa wiki nzima. Na wife nilishamweleza kistaarabu kabisa kwamba aninyime vyote lkn sex HAPANA!! maana hapo ndiyo kuna furaha yangu lkn habadiliki. Sometime natamani ata nijipigie beki tatu ili nipunguze uchungu lkn nikimcheki huyu dogo anaonekana bado sana hata vichuchu vinaonyesha hajui kitu istoshe kana aibu sana na kananiheshimu vya kutosha . aiseeeeeeee nimechoka ata kuendelea kutyp lkn inaniuma sanaaaa

Jamani ebu tuambizane nyie pia kwenye ndoa zenu kuna hizi taratibu za kuzuiliwa kukojeleana?
Hapo auna mke mkuu, zinahesabika siku tu hapo ndoa ivunjike kwani kwa uzoefu wangu niliokuwa nao mimi ndoa nyingi huvunjika kwa mtindo huo
Jiulize anapokunyima penzi anataka uende wapi kama sio nje na apatie sababu ya kukuona muhuni aufai au akuone wewe malaya kuwa makini kaka mke kama kaanza hayo mambo akufai huyo hapo hesabu siku tu utasikia mmeachana!!!
 
Hahaha nimecheka utadhani mazuri haya,,mkuu huyo peleka kanisani akaombewe wallah atakua na mapepo anaanzaje kukupa kamoja tu alafu et usikojoe ndani shubamiiti
 
Kazi kweli kweli..kumbe shida ni hataki kulala na utelezi, sio kuhusu kutotaka ujauzito kwa sasa.

Mh hapa mentor inanibidi kurudi shule tena..ushauri kwishney.

Ila mkuu ngoja nijaribu hii ya mwisho;
Kabla hujaanza kuendekeza hayo mawazo ya beki na kuchepuka hebu jaribu hii. Wikiendi moja hata ikiwezekana mkaomba karuhusa kazini Ijumaa..muondoke pamoja muende sehemu tulivu, get a room ambayo mtahudumiwa milo yote, yaani asifanye shughuli yeyote. Hiyo Ijumaa usizungumze chochote kizito. Kama mmenda mbugani basi mshinde kucheki wanyama tu ama kama ni hoteli tu ya kitalii basi mmeshinda ndani aidha mnacheza game ama mnaangalia movies. Vyovyote vile hakikisha hamfanyi kazi ngumu. Jioni baada ya msosi, fanya shughuli pendwa kisha note mabadiliko yoyote ya tabia.

Vyovyote vile atakavyofanya - kukupa ushirikiano bila masharti, kukupa masharti, kukupa game zaidi ya moja - vyovyote atakavyofanya usiku huo, wenye fanya kuchukua notes tu.

Kesho yake baada ya chai, mkae chini mzungumze kutokana na yaliyotokea usiku. Usiongee kwa kubembeleza lakini pia usiongee kibabe (be balanced..objective..ajue upo serious lakini). Mueleze kinachokukwaza na kwamba ungependa kujua nini hasa shida yake. Usichukulie kama ni makusudi (hata kama unaamini 100% ni makusudi..cheza na psychology yake tu). lengo lako ni kutaka mabadiliko na kurudia maisha yenu ya upendo kama zamani.

Huenda tu ameathirika kisaikolojia na unaweza kumshauri kuwaona wataalamu. Haya mambo yapo lakini ukitumia ubabe sana sana solution utakayopata ni kuchepuka tu ila ndani kwako huna amani.

Sina conclusion ya jibu lake litakuwaje, ila zungumza naye kwa kutaka kumuelewa na kuona kama mkionana na mshauri nasihi atawasaidia. Usipuuzie sana kumuona anafanya makusudi kila wakati. Mazungumzo yenu yatakusaidia sana kujua jinsi ya kusonga mbele kutoka hapo. Naamini unampenda mkeo, naye si kichaa, je ni kwa nini tabia yake imebadilika.

Ukienda kwa kumu-attack hutopata jibu..jitahidi kwenda na mentality ya kutaka kumsikiliza.
Asante sana Mentor lkn kwa kiasi kikubwa sana nimeshakata tamaa na huyu mwanamke. Mpk nakuja kuanika mambo yangu hapa ujue nafanya kama ku share tu lkn sikuamini km nitapata ushauri wa kunibadilisha. Kwa kiasi kikubwa nafikili nimsusie tu hiyo papuchi yake mm nikale nje
 
Pole sana mtoa hii mada umeandikia wengi sana wanaopitia hali kama hizi ila wanaogopa na kukosa pa kusemea. Ndoa nyingi zinapitia magumu sana tena usiombe mwanamke ndio awe muanzilishi Wa sokomoko Italia aisee.
Michepuko sio suruhisho kwani ina hatari zake na kuongeza umaskini hasa kwenye matumizi.
Pia kuna magonjwa kama HIV na mengineyo.

Kupiga pia sio suruhisho kwani waweza UA au jeruhi.

Punyeto nayo sio sana inadharirisha utu Wa mtu.

Kukimbilia kwa washauri pia sio kwani nao wanao yao na hawajahi kumwambia au kukuambia mwishowe utazikuta mabalazani kwenye Kuku wengi.

Dawa ni kufa tu na kuanza kufanya yako na kuachana naye. Tena mtenge kabisa uwe kama maiti.
Mtoto wangu ananiumiza sana sikuwahi kufikili mwanangu apate malezi ya mzazi moja. Natamani sana kuachana na huyu mwanamke lkn mwanangu ananifunga kamba
 
Asante sana Mentor lkn kwa kiasi kikubwa sana nimeshakata tamaa na huyu mwanamke. Mpk nakuja kuanika mambo yangu hapa ujue nafanya kama ku share tu lkn sikuamini km nitapata ushauri wa kunibadilisha. Kwa kiasi kikubwa nafikili nimsusie tu hiyo papuchi yake mm nikale nje


Jaribu hii ya mwisho mkuu. ishindikana hata mkitengana itakuwa halali. usitafute temporary solutions mwishowe uje kuonekana mkosefu wewe.
 
Kabisa.
Nafikiri pia kama kumuonyesha dalili za kuwa anachepuka ni ngumu baai anatakiwa atumie uanaume, ampe rafu rafu hivyo hivyo!! Siku kakasirika, akamate na kuweka mashine na kukojoa ndani. Hamna namna, hapo jibu ni rough sex au bondage!!
Bondage
 
Back
Top Bottom