Recent content by mind bringer

  1. mind bringer

    Msaada: Nimesahau Nywila (Password) za account ya loanboard

    Wadau nimekwama hapa kulogin kweny account nliotaka kuombea mkopoo. Kifupi nimesahau password kwenye ufafanuzi jinsi ya kureset anipe maujanja jinsi ya kufanya.
  2. mind bringer

    What a U.S.$500 Million Agreement Means for Tanzanian Ports

    aloooohhhh soup soup soup soup
  3. mind bringer

    TAMISEMI ongezeni muda wa kutuma maombi ya ualimu na afya

    zipo nying ila inategemeana na masomo unayofundisha
  4. mind bringer

    TAMISEMI ongezeni muda wa kutuma maombi ya ualimu na afya

    messenger wa dodoma kaanza na yakee...aya fwateniii
  5. mind bringer

    Rais Samia aridhia TAMISEMI kuajiri watumishi 21,200 kada ya Afya na Elimu

    alooohh hyaa maambo n Mungu tuu atafanikisha kiurahisii
  6. mind bringer

    Kwenu mliosoma Mzumbe University Main Campus.

    its truee amepanda cheo toka mwaka janaa
  7. mind bringer

    Natafuta kazi ya ualimu wa shule binafsi kwa masomo ya Physics na Mathematics kwa ngazi ya O-level

    aloooh nataman ningekua na degree yang now niombe namba piaaa
  8. mind bringer

    Nafasi za kazi ualimu primary school - Taifa international school

    application plus interview ndo hii ss alooooh hii kada ya education majanga tayal
  9. mind bringer

    Serikali yapata mkopo wa Tsh. Bilioni 650 kwa ajili ya kuanza ujenzi wa mradi wa BRT awamu ya 4 & 5 mwaka 2023

    Tunakopa Sana,Tunajenga Sana ila miradi haikamiliki[emoji38][emoji16][emoji1][emoji2][emoji3]
  10. mind bringer

    Nilitamani kuyajua haya - Ajira kwenye mradi wa Bwawa la Umeme la Nyerere (Part One)

    majib yenu naweza kuyatabili hata kabla hamjafika kwa dada kulwa......polen sanaa!!!
  11. mind bringer

    Msaada wadau; Vyeti vya taaluma majina mawili ila nida majina matatu ,tatizo kama hili tunafanyaje wadau

    kumbe tupo weng wenye changamoto kama hiii....aseeh nida wapunguze mlolongo wa kubadilisha jina.....nlienda juz ofc za nida walichonambia et -nitafute hiyo deed poll -niwaletee verfcation letter ya vyet vyang kutoka baraza la mitihani -nkatoe tangazo la kiserkali la kubadili jina ndo nije...
  12. mind bringer

    Msaada wakubwa

    deed poll unaipata kwa hakim au wakil nisaidien kwa hiloo ili nkitoka om nijuee naenda kwa nan
  13. mind bringer

    Msaada: Namna ya kuambatanisha Cheti cha Kiapo kwenye uombaji wa ajira za Afya na Ualimu

    ulikipataje chetii cha kiapo maana me piaa majina yanatofautiana
Back
Top Bottom