Fungarakwaki
JF-Expert Member
- Mar 12, 2023
- 1,907
- 4,720
Bila shaka Jumapili ya mitende imeenda vyedi...
Kwa wale waliosoma chuo tajwa hapo juu kuanzia mwaka 2012 kuna lecturer mmoja anaitwa Innocent Mgeta alikuwa kitivo cha sheria, naskia kwa sasa ni mkurugenzi wa sheria wizara ya elimu. Je ni kweli?